KWA YANGA HII MJIPANGE!
AMA kweli Yanga sasa wameamua, kuelekea msimu ujao maandalizi yameanza mapema na lengo ni kuhakikisha wanakuwa na kikosi bora katika michuano yote msimu ujao...
ZAHERA ATANGAZA KIKOSI KIZIMA KIPYA YANGA
MTAANI kwa sasa mashabiki wa Yanga ndiyo wanatamba kwa nguvu kutokana na uboreshaji wa kikosi cha msimu ujao uliofanywa na viongozi wa timu hiyo.Yanga...
HAWA HAPA NYOTA 15 KIMEELEWEKA NDANI YA SIMBA
BADO vuguvugu la kuongeza majembe mapya na kuongeza mkataba wa wachezaji kwenye Ligi Kuu Bara unazidi kushika kasi.Mabingwa watetezi Simba kama ilivyo ada nao...
JEMBE JIPYA SIMBA LASAINI KWA DAU NONO! UKURASA WA MBELE CHAMPIONI LEO JUMATATU
Muonekano wa gazeti la Championi katika ukurasa wa mbele leo Jumatatu
SIMBA YAONGOZA KUINGIZA MPUNGA LIGI KUU, BIASHARA YA TATU, AZAM YA 15
Mgao wa Mapato ya mlangoni kwa timu za Ligi Kuu Bara msimu wa 2018/19.
WABRAZIL SIMBA WAFICHWA
WAKATI usajili ukizidi kukolea ndani ya klabu ya Simba imebainika kuwa nyota wapya wa klabu hiyo Wabrazili tayari wamepelekwa kwenye hoteli ambayo Simba huweka...
WATANO WASAINI RASMI YANGA
Uongozi wa Yanga ulikuwa kwenye hatua ya kuwasainisha mikataba mipya nyota wake watano tayari kwa kuwatumia msimu ujao kwenye michuano mbalimbali. Timu hiyo inaanza...
JKT TANZANIA YAMALIZANA NA NYOTA WAKALI SITA FASTA
DANNY Lyanga amesaini kandarasi ya mwaka mmoja kujiunga na kikosi cha JKT Tanzania baada ya kuachwa na Azam FC na kukamilisha jumla ya wachezaji...