JIPYA LAIBUKA JUU YA USAJILI WA BWALA SIMBA
Imeripotiwa kuwa klabu ya Simba imegoma kutoka kiasi cha fedha ambacho Nkana Red Devils wanakitaka ili kumuachia mchezaji wao Walter Bwalya.Taarifa za ndani zinasema...
TSHABALALA AWACHANGANYA WAARABU – VIDEO
Tazama alichokifanya Mohammed Hussein 'Tshabalala' huko Misri akiwa na Taifa Stars mpaka baadhi ya waarabu wakawa wanamtazama.
HARMONIZE AMKATAA ALIKIBA, ATAJA TATTOO ZAKE – VIDEO
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Harmonize, kutoka WCB Wasafi, amefunguka mambo mbalimbali kuhusiana na tattoo alizochora mwilini mwake sambamba na kumtaja Ali Kiba. Sikiliza hapa
ALIKIBA AIGA ALICHOKIFANYA DIAMOND – VIDEO
Lebo ya Msanii wa kizazi kipya inayomilikiwa na msanii Ali Kiba 'Kings Music' imemtambulisha msanii mwingine mpya.
Miraji avunja kanuni ya saa saba kamili?
Winga wa klabu ya Lipuli Fc yenye makazi yake mjini Iringa, Miraj Athumani, huenda anaelekea katika klabu ya Simba Sc baada ya...
WENGINE WAWILI WASAINI LEO AZAM FC
UONGOZI wa Azam FC chini ya Ofisa Mtendaji Mkuu, Abdulkarim Amin kwa kushirikiana na benchi la ufundi lililo chini ya Kocha Mkuu, Ettiene Ndayiragaje...
LORI LAGONGA TRENI DODOMA, 29 WAJERUHIWA
Watu 29 wamejeruhiwa baada ya lori kugonga treni jijini Dodoma. Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Protas Katambi, amesema leo asubuhi Jumanne Juni 18, 2019,...
BEKI KENYA AZUA GUMZO AFCON
MLINZI wa timu ya taifa ya Kenya (Harambee Stars), Joash Abong’o Onyango, amezua mijadala kwenye mitandao ya kijamii baada ya picha yake kusambaa akiwa...
MANCHESTER UNITED WAMTAKA KIUNGO WA WESTHAM UNITED
MANCHESTER UNITED imewasiliana na uongozi wa West Ham United kuona namna gani wanaweza wakakamilisha dili la kumpata mchezaji Declan Rice.United wameonyesha uhitaji mkubwa wa...