AZAM FC WAANZA KUIWINDA FASIL KENEMA

0
ETTINE Ndayiragije, Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa kikosi kipo tayari kwa ajili ya michuano ya kimataifa pamoja na Ligi Kuu Bara.Azam FC...

BEKI RUGAN WA JUVENTUS KUTUA ARSENAL KWA MKOPO

0
DANIELE Rugan yupo kwenye hesabu za kusajiliwa na klabu ya Arsenal kwa mkopo akitokea ndani ya kikosi cha Juventus.Beki huyo msimu uliopita akiwa na...
Mwambusi

MBEYA CITY KUFUNGUA KAZI NA TANZANIA PRISONS

0
JUMA Mwambusi, Kocha Mkuu wa Mbeya City amesema kuwa kazi kubwa wanayo msimu ujao kwa kuwa hesabu zao ni kufanya vema.Mwambusi amesema kikosi kipo...

SERIKALI YA ZANZIBAR YAIPA TANO YANGA

0
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi ameunga mkono mfumo wa Klabu Maarufu ya Mchezo wa soka ya Yanga kuanzisha miradi...

MBELGIJI AKUBALI UWEZO WA WACHEZAJI WAKE

0
PATRICK Aussems, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa uwezo wa wachezaji wa Simba unaongezeka kila siku hivyo anaamini wataleta ushindani msimu ujao.Simba imeweka kambi...

HIVI NDIVYO CAF WALIVYOTIBUA MIPANGO YA SIMBA

0
CRESCENTIUS Magori, Ofisa Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba amesema kuwa ratiba ya michuano ya kimataifa iliyotolewa na Shirikisho la Soka Afrika (Caf) imesababisha...

SIMBA WABEBA IMANI KUBWA KWA MASHABIKI

0
OFISA Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa hawana hofu na mchezo wao watakaocheza jumanne siku ya Simba day mashabiki wa Simba wanajua wanachokitaka.Agosti...

CAF YATEUA WAAMUZI SITA WA ONGO KUCHEZESHA MECHI ZA LIGI YA MABINGWA NA SHIRIKISHO

0
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeteua Waamuzi Wanne (4) na Makamishna Wawili(2) kutoka Tanzania kusimamia mechi za Ligi ya Mabingwa na Kombe...

RATIBA YA SPORTPESA SIMBA WIKI IPO NAMNA HII

0
 AGOSTI 6 kwa kuchezwa mechi ya kirafiki baina ya Wekundu hao dhidi ya Power Dynamo kutoka Zambia.Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo, Crescentius Magori amesema...

AZAM FC: TUPO TAYARI KWA LIGI MSIMU UJAO

0
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa upo tayari kwa ushindani kwa ajili ya msimu ujao unaotarajiwa kuanza Agosti 23.Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari...