BREAKING: MZEE KILOMONI AKAMATWA WAKATI AKIFANYA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI
POLISI wamezuia mkutano ambao ulipaswa ufanyike leo na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa klabu ya Simba, Hamis Kilomoni.Mkutano huo ulipangwa kufanyika majira ya...
MAANDALIZI STARS YAPAMBA MOTO, AJIBU, MANULA, NYONI NDANI YA KIKOSI
KAIMU Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Ettiene Ndayiragije amesema kuwa kazi kubwa iliyopo kwa sasa ni kujenga kikosi cha ushindani kitakacholeta...
YANGA YAANDAA GARI MAALUMU LA KUKUSANYA KIJIJI
KATIBU wa Hamasa wa Klabu ya Yanga, Deo Muta amesema kuwa Agosti 4 uwanja wa Taifa lazima wawanyooshe Kariobangi Sharks uwanja wa Taifa.Yanga itacheza...
MBELGIJI WA SIMBA AJA NA MKAKATI KABAMBE KWA WACHEZAJI
KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Aussems amesema kuwa anataka kubadili mfumo kwa wachezaji wake na timu kiujumla kwa ajili ya msimu ujao.Timu ya Simba...
BARCELONA YATOA LISTI YA WACHEZAJI SITA KWA PSG KUMPATA NEYMAR JR
BARCELONA wameamua kutoa listi ya wachezaji sita kwa PSG ili ikubai kukamilisha dili la kumpata mchezaji wao wa zamani, Neymar Jr.Inaelezwa kuwa Barcelona wameamua...
YANGA YAPANIA KUIFANYA SIKU YA WANANCHI YA KIPEKEE ZAIDI
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa umejipanga kuifanya siku ya wananchi kuwa ya kipekee kuliko zote kutokana na ukubwa Yanga.Mwenyekiti wa Kamati ya Hamasa ndani...
NYOTA MPYA WA MTIBWA AANZA NA MAKEKE YAKUTOSHA
BAO la usiku lililofungwa na nyota mpya wa Mtibwa Sugar, Abdulharim Humud jana limeweka usawa kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Aigle Noir FC.Mchezo...
MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA SPOTI XTRA ALHAMISI
MUONEKANO wa Ukurasa wa nyuma Gazeti la SPOTI XTRA Alhamisi
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA ALHAMISI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Alhamisi
ISHU YA MDHAMINI MKUU WALIGI KUU BARA IMEFIKA HAPA
WALLACE Karia, Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania amesema kuwa kwa sasa bado wanaendelea kuzungumza na mdhamini mkuu ili kukamilisha utaratibu wa kufanya naye...












