Trending Stories
View All
KUMUONA NIYONZIMA AKIPATA TAABU UWANJA WA TAIFA MBELE YA KMC BUKU MBILI TU
HARUNA Niyonzima, nyota wa zamani wa Simba na Yanga anayekipiga AS Kigali atakuwa na kibarua kizito Ijumaa, mbele ya KMC…
MBEYA CITY WAO WAIKOMALIA TANZANIA PRISONS
KOCHA Mkuu wa Mbeya City, Juma Mwambusi amesema kikosi kitarejea kwenye makali yake ya zamani.Mwambusi amerejea nyumbani baada ya kupigwa…
MBAO WAPO VIZURI, KUANZA KAZI NA AALIANCE FC
UONGOZI wa Mbao FC umesema kuwa umekamilisha mipango kwa ajili ya msimu mpya wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuanza Agosti…
JEZI YA EMANUEL OKWI NI 19 SIO 7 TENA
Emmanuel Okwi ametambulishwa rasmi Itthad Alexandria ya nchini Misri na kukabidiwa jezi namba 19 tofauti na namba 7 ambayo alikuwa…
SIMBA YAANZA KUWAPIGIA HESABU UD SONGO TAIFA, ISHU YA BOCCO IPO HIVI
PATRICK Aussems, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa mchezo wake dhidi ya UD Songo utakuwa mgumu na amejipanga kufanya vizuri…
VITA YA UFUNGAJI BORA ENGLAND IMEANZA KUPAMBA MOTO
MSIMU mpaya wa Ligi Kuu England umeanza kunoga kwa upande wa vita ya Tuzo ya Ufungaji Bora ambapo moto umeanza…
AZAM FC YASAHAU MAUMIVU YA KUPOTEZA NGAO YA JAMII, SASA NI MWENDO WA KIMATAIFA
UONGOZI wa Azam FC, umesema kuwa unasahau habari za kupoteza mchezo wao dhidi ya Simba uliochezwa Jumamosi sasa nguvu kazi…
AGOSTI 30 MZIZIMA BOXING FAMILY GROUP KUKIWASHA, MASHABIKI WAITWA KUPATA UHONDO
MWENYEKITI wa kundi la Mzizima Boxing Family Group (MBFG), Dr.Abdallah Mandai amewataka mashabiki wa mchezo wa boxing kujitokeza kwa wingi…
SHIBOUB ATOA TAMKO SIMBA – VIDEO
SIMBA HII SASA SIFA, TAZAMA MAZOEZI WALIYOYAFANYA – VIDEO
Kikosi cha Simba kimeendelea kujiandaa na mazoezi katika Uwanja wa Bocco Vetrani uliopo jijini Dar es Salaam.
MANULA: KAKOLANYA HAWEZI KUTISHIA NAFASI YANGU – VIDEO
Kipa watimu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Aishi Manula amesema hatishwi na uwezo wa mlinda mlango msaidizi wake Beno…
BOB JUNIOR ARUDI KWA KISHINDO, AMSHIRIKISHA DIAMOND PLATNUMZ – VIDEO
MSANII Bob Junior ambaye alifanya vizuri sana katikati ya miaka ya 2000 kwa kuachia hit songs kama Oyoyo, Nichum na…
BOB JUNIOR AMTAJA HARMONIZE, DIAMOND – VIDEO
Msanii nguli wa muziki wa Bongo fleva Bob Junior amesema kosa lake ni kukaa kimya kwa muda mrefu na ndio…
TANZANIA YAANZA KWA KUCHECHEMEA MICHUANO YA CECAFA
KIKOSI cha Timu ya Taifa ya Tanzania Chini ya Miaka 15 leo kimeanza kwa kuchechemea mbele ya Uganda kwa kupoteza…
MASHINE 21 ZA MAANGAMIZI YANGA ZILIZOONDOKA KWENDA KUMALIZA KAZI BOSTWANA
Kikosi cha yanga kilichoondoka Dar es Salaam kuelekea Botswana kwa ajili ya mchezo wa marudiano dhidi ya Township Rollers.1. Metacha…