BAADA YA KUMPIGA MTU 5 JUZI….KOCHA YANGA APATA CHA KUZUNGUMZA….
BAADA ya kupata ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Copco FC na kutinga hatua ya robo fainali ya Kombe la FA, Kocha Mkuu wa...
PACOME, YAO NA DUBE WATENGWA YANGA…..RAMOVIC AWAPIGA ‘MKWARA WA KUFA’ …
KIKOSI cha Yanga juzi jioni kilikuwa uwanjani kuvaana na Copco ya Mwanza katika pambano la kiporo cha michuano ya Kombe la Shirikisho, huku kocha...
SAKATA LA ‘URAIA WA MCHONGO’ WACHEZAJI SINGIDA…MAPYA YAIBUKA….
Sakata la wachezaji watatu wa timu ya Singida Black Stars (SBS), waliopewa uraia wa Tanzania, limechukua sura mpya baada ya Wakili Peter Madeleka kutangaza...
KAMWE:- MAUMIVU HAYA YATAKUWA MARA MBILI KWETU…
OFISA Habari wa Yanga, Ali Kamwe amesema maumivu ya kuondolewa kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika yawe darasa na sehemu ya...
BAADA YA KUISHIA MAKUNDI CAF….PACOME ASHINDWA KUJIZUIA YANGA…MSIMAMO WAKE HUU HAPA…
WIKIENDI iliyopita Yanga ilitoka 0-0 na MC Alger, matokeo hayo yaliifanya kushindwa kufuzu robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika ikimaliza nafasi ya tatu...
KUHUSU MPINZANI ROBO FAINAL CAF….ZIMBWE AVUNJA UKIMYA SIMBA…ATAJA WANAYEMTAKA…
NAHODHA wa Simba, Mohammed Hussein `Zimbwe Jr, amesema kumaliza kinara wa kundi kwenye michuano kombe la Shirikisho Afrika kumewapa nafasi ya kukwepa kukutana na...
HII HAPA TAMU, CHUNGU YA SIMBA KUCHEZA BILA MASHABIKI KWA MKAPA…..
IKIWA ndio timu pekee iliyobakia katika mashindano ya kimataifa yanayoandaliwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF), kutoka Afrika Mashariki na Kati, wachezaji wa Simba...
MERIDIANBET YATOA MSAADA WA VYAKULA MAGOMENI MAKUTI….
Je unajua kuwa siku ya leo wakazi wa Magomeni Makuti wametabasamu baada ya kufikiwa na Kampuni kubwa ya ubashiri Tanzania?. Nayo si nyingine bali...
HIZI HAPA DK 630 ZA ‘MTEGO’ KWA SIMBA NA YANGA KABLA YA MECHI YA...
BAADA ya Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB) kuweka hadharani ratiba ya Ligi Kuu Bara inaonyesha mwezi ujao ambao ligi hiyo itarejea baada ya kusimama...
BAADA YA KUFUZU ROBO FAINAL CAF….HESABU ZA SIMBA KUTINGA NUSU HIZI HAPA….
SIMBA SC imefuzu hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kibabe baada ya kuifunga CS Constantine ya Algeria mabao 2-0, na kuongoza...