Trending Stories
View All
RONALDO AZUNGUMZA KWA MARA YA KWANZA ISHU YA KUSTAAFU
RIYADH, SAUDI ARABIA: GWIJI wa soka duniani, Cristiano Ronaldo, amekiri kwa mara ya kwanza kuwa mwisho wa safari yake ya…
BARKER CHINI YA PRESHA, SIMBA WAKITAKA MAKUBWA AFRIKA
UONGOZI wa klabu ya Simba umempa kazi nzito kocha wake, Steve Barker, baada ya kuweka wazi kuwa bado hawajaridhishwa na…
BACCA AWATULIZA WANANCHI, SUBIRA, TUTARUDI TUKIWA HATARI
BEKI wa Yanga, Ibrahim Hamad maarufu kama Bacca, amewataka mashabiki wa timu hiyo kubaki wamoja na kuwa na subira kufuatia…
KWANINI CHAMA HAKUPIGA PENALTI, MAAMUZI YA SIMBA KUCHUKUA UBINGWA WAZI
KIUNGO wa Simba SC, Clatous Chama, amefunguka sababu mbili kuu zilizomfanya aamue kutopiga penalti aliyopata timu yake katika fainali ya…
SHAKHTAR DONETSK KWENYE VITA YA KUISAKA FAINALI DHIDI YA CRYSTAL PALACE
Leo Alhamisi tarehe 30 Aprili saa 22:00 Uwanja wa Henryk Reyman huko Krakow, Poland, utakuwa Jukwaa la pambano la hatua…
IBRA CLASS, MAPAMBANO YA NANI MKALI SASA NO
BONDIA wa kulipwa wa Tanzania, Ibrahim Mgender maarufu kama Ibra Class, ameweka malengo ya kushinda mataji makubwa ya kimataifa baada…
UEFA YAFAFANUA SABABU YA ARSENAL KUNYIMWA PENALTI
SHIRIKISHO la Soka Ulaya (UEFA), limetoa ufafanuzi kuhusu tukio la utata lililopelekea Arsenal kunyimwa penalti katika mechi ya nusu fainali…
DABI YACHAFUKA MAPEMA, YANGA YAPEWA TAHADHARI
MENEJA wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally, amesema ushindi walioupata dhidi ya Yanga katika fainali umefuta…
KIPIGO CHA SIMBA KIMETUFUMBUA MACHO, SASA NI VITA YA DABI PEDRO
BAADA ya kupoteza fainali ya Kombe la Muungano kwa kufungwa bao 1-0 na Simba katika Uwanja wa New Amaan Complex,…
KUTOKA WYDAD MPAKA HADI SIMBA, MWALIMU ATOA DARASA LA MECHI KUBWA
MSHAMBULIAJI wa Simba, Selemani Mwalimu, amesema uzoefu alioupata nje ya nchi umemjengea utulivu mkubwa katika mechi za presha, hali inayomsaidia…
SIKINDE, BOGOSS MUSICA KUTIKISA FAINALI YA CHEZA KIDANSI AWARDS
IJUMAA hii katika eneo la Ngoreme Park Sinza Mori jijini Dar es Salaam, mashabiki wa muziki wa dansi wanatarajiwa kushuhudia…
KIPA SPURS AGEUKIA UDIJEI
LONDON, ENGLAND: ALIYEKUWA kipa wa Tottenham Hotspur, Alfie Whiteman, ameanza maisha mapya nje ya soka akiwa mkurugenzi wa filamu, mwigizaji, dijei…
SIMBA YABEBA KILA KITU WAISHIA MAKOFI
SIMBA SC wamehitimisha kwa kishindo michuano ya Kombe la Muungano, si tu kwa kutwaa ubingwa bali pia kwa kutikisa jukwaa…
BAO LA MWISHO LAWAVUNJA MOYO MASHABIKI, SIMBA WATAMBA
SIMBA imetwaa ubingwa wa Kombe la Muungano baada ya kuibuka na ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya Yanga katika…
MERIDIANBET YATOA MSAADA WENYE USTAWI MWANANYAMALA
Wakati hospitali nyingi zikikabiliana na ugumu wa mahitaji ya kila siku ya wagonjwa, wakati mwingine vitu vidogo ndivyo vinavyobadilisha hali nzima…
KUTOKA NAFASI YA 14 HADI USALAMA, DILUNGA AAMINI INAWEZEKANA
WAKATI Kocha Mkuu wa Mbeya City, Salum Mayanga akiweka wazi mkakati wa kuirejesha timu hiyo kwenye ubora wake, kiungo mshambuliaji…