Tag: dabi
ROBERTINHO ACHIMWA MKWARA MZITO…… KINACHOFANYIKA KWENYE DABI NI ZAIDI YA AFL
WAKIJIANDAA na mchezo wao wa Dabi ya Kariakoo dhidi ya Yanga, Kocha Mkuu wa Simba, Robert Olivieira ‘Robertinho’ amechimba mkwara mzito kuwa wametumia uzito...
BODI YA LIGI YAILAMU YANGA KWENYE DABI YA KARIAKOO, KISA HIKI...
Bodi ya ligi kuu Tanzania (TPLB) imesema haipendezwi na tabia ya timu mgeni kwenye Mchezo wa Kariakoo Derby kutoifanyia promo mechi hiyo na kuachia...
MASTAA HAWA WA SIMBA MATOKEO YA DABI YA KARIAKOO YAPO MABEGANI...
Kocha Mkuu wa Simba Mbrazili, Robert Oliviera ‘Robertinho’ amewapa jukumu zito viungo wake wa kati Fabrice Ngoma, Sadio Kanoute na Mzamiru Yassin kuhakikisha viungo...
MABOSI SIMBA WAWEKA MEZANI MILIONI 500 SIMBA IKIICHAPA YANGA DABI YA...
Taarifa kutoka ndani ya Simba SC, zinaeleza kuwa, uongozi wa timu hiyo umeweka pesa ya maana ili kuhakikisha wanaibuka na ushindi dhidi ya Young...
KUELEKEA DABI YA KARIAKOO SIMBA WALAMBA DILI HILI LA KIBABE
Katika kuelekea mchezo wao wa Dabi dhidi ya Yanga SC, Wekundu wa Msimbazi Simba SC, wameingia mkataba wa Bil. 1.5 na Kampuni ya Serengeti...
SIO SIMBA, SIO YANGA MAKOCHA HALI TETE NGAO YA JAMII
WAKATI joto la fainali ya Ngao ya Jamii kati ya Yanga na Simba Agosti 13 likizidi kupanda, makocha wa timu hizo wametambiana kila moja...
DAUDA AICHAMBUA YANGA YA GAMONDI, ASEMA HAYA KUHUSU DABI
Timu zote zimetoka kucheza mechi za Nusu Fainali na kufanikiwa kufuzu kucheza Fainali, kuuendea mchezo wa Fainali ya watani wa Kariakoo itakuwa tofauti na...
SIMBA, YANGA VICHEKO TU KABLA YA KARIAKOO DABI
KABLA ya mchezo wa Kariakoo Dabi itakayopigwa jijini hapa vikosi vyote viwili vimepokea taarifa njema ambazo zitawafanya watabasamu kwa kuongeza kitu kwao.
Tuanze na Simba...