Tag: gamondi
GAMONDI AKOMAA NA MRITHI WA MAYELE, HAPO KAMBINI HAPAKALIKI
MIGUEL Gamondi Kocha Mkuu wa Yanga anaendelea kumsuka upya mrithi wa mikoba ya, Fiston Mayele ambaye ni Kennedy Musonda.
Mayele hatakuwa ndani ya kikosi cha...
GAMONDI AFANYA MAAMUZI MAGUMU KWENYE KIKOSI CHA YANGA, MAYELE ATAJWA
KOCHA mpya wa Yanga, Miguel Angel Gamondi, kwa sasa yupo AVIC Town, Kigamboni, Dar, akikisuka kikosi cha timu hiyo, huku taarifa zikibainisha kwamba, Muargentina...
MIPANGO MIPYA YA GAMONDI HADHARANI, NABI ATAJWA
WAKATI watu wakiwa wanawaza Yanga ya msimu ujao itakuwaje basi fahamu kuwa kila kitu kimekamilika kwenye mipango mipya chini ya Kocha, Miguel Gamondi raia...
ALLY KAMWE ATOBOA SIRI INAYOMPA JEURI GAMONDI, MAXI, NZEGELI WATAJWA, ISHU...
HUKO ndani ya Yanga, unaambiwa mambo yameanza kuiva, hiyo ni kutokana na Kocha Miguel Angel Gamondi kutamba na timu yake hiyo haswa katika eneo...
GAMONDI WA YANGA NAE ATAMBA, AWATAJA MASTAA HAWA KATIKA USAJILI WA...
KATIKA kuhakikisha timu yake inapata ushindi wa mabao mengi, Kocha Mkuu wa Yanga Muargentina Miguel Gamondi ameanza mazoezi ya kimbinu kwa wachezaji wake akitaka...
YANGA HII YA GAMONDI SIO POA CHEKI BALAA LAKE
CHINI ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi Yanga inaendelea na mazoezi kwa ajili ya msimu mpya wa 2023/24.
Ni AVIC Kigamboni Yanga imeweka kambi ikiwa na...
GAMONDI AANZISHA VITA HII YANGA, MASTAA WAHAHA
KOCHA wa Yanga, Miguel Gamondi ametegeneza vita kubwa kwenye kikosi chake, jambo ambalo litamfanya apasue kichwa kupata kikosi cha kwanza.
Yanga juzi ilicheza mchezo wa...
GAMONDI ATAMBA KUHUSU KIKOSI CHAKE AAHIDI MAKUBWA
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans, Miguel Gamondi amewataka mashabiki wa klabu hiyo kutarajia mabadiliko zaidi ya uchezaji kwa timu...
GAMONDI ATAMBA KUHUSU UBINGWA WA MSIMU HUU YANGA
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans Angel Miguel Gamondi amesema ana matumaini makubwa na kikosi chake kuelekea msimu mpya 2023/24,...
KOCHA WA YANGA AIMWAGIA SIFA YANGA, GAMONDI ATAMBA
Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi amesema timu hiyo inatarajia kuwa na malengo makubwa zaidi kwa sababu ni klabu kubwa yenye mashabiki wengi wenye...