Tag: Habari za Michezo
LOLOTE LINAWEZA KUTOKEA DABI YA KARAKOO……ILA KWA TAKWIMU HIZI HAKUNA SARE
Hakuna sare Jumapili, Kariakoo Derby lazima mtu apasuke. Hii ni kutokana na kila upande kuwa na uimara katika eneo fulani uwanjani.
Simba ina uimara eneo...
HUKO SIO POA UNAAMBIWA NI KWA VITENDO SASA
Hongera kwa Yanga SC kwa kufanikiwa kuchaguliwa katika tuzo za CAF katika kipengele Cha Timu Bora ya mwaka ni kweli wanastahili sababu katika msimu...
GAMONDI AWATULIZA PRESHA WACHEZAJI WA YANGA………. MECHI NI YETU HII
Zikisalia siku nne tu kabla ya mchezo wa watani wa jadi, Simba SC na Young Africans, Kocha Mkuu wa Young Africans, Miguel Angel Gamondi,...
KUELEKEA DABI YA KARIAKOO SIMBA WALAMBA DILI HILI LA KIBABE
Katika kuelekea mchezo wao wa Dabi dhidi ya Yanga SC, Wekundu wa Msimbazi Simba SC, wameingia mkataba wa Bil. 1.5 na Kampuni ya Serengeti...
KUHUSU ISHU YA SKUDU KUSUGUA BENCHI ISHU KAMILI IKO HIVI
Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Afrika Kusini Skudu Makudubela, ameweka wazi kuwa, hana tatizo lolote na Benchi la ufundi la Young Africans linaloongozwa na Kocha...
REKODI HIZI ZA ROBERTINHO, GAMONDI HANA
Kocha Mbrazil wa Simba, Robertinho hajapoteza mchezo wowote msimu huu akiwa na Simba SC, Ligi kuu ameshinda michezo yote sita.
Katika Michuano ya AFL ametoa...
AFL KUTIMUA VUMBI MWEZI HUU WABABE HAWA KUKUTANA
Baada ya Simba, TP Mazembe, Enyimba na Petro de Luanda kutolewa kwenye michuano mipya ya African Football League, Juzi vigogo wanne waliobaki walicheza mechi...
SHABIKI WA YANGA ALIYEPOKEA KIPIGO NA MASHABIKI WA SIMBA AFUNGUKA TUKIO...
Jumamosi ya Oktoba 28 Timu ya Simba ilikuwa wenyeji wa Ihefu katika Uwanja wa Mkapa mchezo wa Ligi Kuu Bara.
Mchezo huo uliokuwa na vuta...
KUELEKEA DABI YA KARIAKOO MASTAA HAWA SIMBA SASA NI MTEGO
Simba ipo kambini ikijifua na mechi ijayo ya Kariakoo Dabi dhidi ya Yanga lakini mastaa wawili wa Mnyama, washambuliaji Moses Phiri na Luis Miquissone...
WAJUMBE WAPYA WA SIMBA WAANZA NA HILI
Baada ya kuteuliwa kuwa mịumbe wa Bodi ya Baraza la Ushauri Simba SC, Geoffrey Nyange ‘Kaburu’ ameahidi kuhakikisha lengo mama la kuisaidia klabu hiyo...