Tag: Habari za Michezo
KOCHA AZAM FC AWATEMEA MBOVU WACHEZAJI…AMEZUNGUMZA HAYA
KOCHA Mkuu wa Azam FC, Kally Ongala ameichifua kuwa, kwenye timu hiyo hakuna supastaa na mchezaji yeyeote anaweza kuanzia benchi na bado timu ikapata...
MBRAZIL SIMBA AWATUPA DONGO HILI ZITO YANGA…MAYELE ATUMA SALAMU MSIMBAZI
Dar es salaam April 10, 2023,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya leo Tanzania
SIMBA WAKIMBILIA TUNISIA…WAKUSANYA TAARIFA ZA WYDAD KISIRI SIRI…ISHU NZIMA HII HAPA
SIMBA imeanza hesabu kali sana ikitaka kuangusha mbuyu wa Wydad Casablanca na kocha wa timu hiyo Roberto Oliveira 'Robertinho' ametamka kwamba anakiamini kikosi chake...
JOB AWACHANA MASTAA YANGA…”ACHENI DHARAU AISEE…ISHU NZIMA IKO HIVI
CLATOUS Chama wa Simba pamoja na baadhi ya mastaa wa Yanga wameichungulia droo ya mechi za robo fainali za michuano ya CAF inayozikutanisha timu...
HAWA HAPA WACHEZAJI MAJERUHI WA SIMBA NA YANGA WALIOPONA…LIST KAMILI HII...
Dar es Salaam. Kupona kwa nyota majeruhi kunazidi kupunguza presha ya makocha wa Simba na Yanga katika maandalizi ya timu zao kwa ajili ya...
STRAIKA HATARI BONGO ATOBOA SIRI ZA MASTAA UBELGJI…AMEZUNGUMZA HAYA
Anwary Jabir yupo Ubelgiji akiendelea kufanyiwa majaribio ya kucheza soka la kulipwa akitokea Kagera Sugar na mwenyewe amevunja ukimya kwa kusema kilichombeba hadi kupata...
YANGA YAMFUKUZISHA KAZI KOCHA MAZEMBE…INASIKITISHA SANA KWA UNYAMA HUU
Klabu ya TP Mazembe imemteua aliyekuwa kocha wa Timu ya Taifa Senegal, Lamine Ndiaye kuwa kocha mkuu klabuni hapo kuchukua nafasi ya mzawa Mihayo...
IMEFICHUKA RASMI…MCHEZAJI HUYU BONGO NI MCHUNGAJI…ISHU NZIMA A-Z
KAMA ulikuwa hujui kumbe kiungo wa Singida Big Stars, Bruno Gomes ni kama mchungaji ndio maana anapofunga bao hufunua jezi yake na kuonesha kwenye...
VIJANA WA IBENGE WAINGIA DOSARI…SAFARI YAO YAKWAMA…LIGI YA MABINGWA AFRIKA
Miamba ya Soka kutoka nchini Misri, Timu ya Al Ahly wamefanikiwa kupenya hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuichapa...
PETER TINO AWACHARUKIA TFF…”ACHENI KUITA TAIFA STARS KWA MAJINA
WAKATI kipigo cha bao 1-0 dhidi ya Uganda, kikiiweka Taifa Stars katika mazingira magumu ya kufuzu fainali zijazo za Mataifa ya Afrika (Afcon), nyota...