Tag: Habari za Michezo
KIUNGO WA YANGA ATIKISA SHIRIKISHO…ALIKAA BILA TIMU NUSU MSIMU
NI Mudathir Yahya pekee kwenye msitu wa mastaa wa kigeni kwenye mashindano ya kimataifa hatua ya makundi ambapo Simba (Ligi ya Mabingwa) na Yanga...
MAKOSA YAWATESA RUVU SHOOTING…KOCHA MKUU AFUNGUKA…ISHU NZIMA IPO HIVI A-Z
Ruvu Shooting imekubali kipigo cha mabao 4-1 dhidi ya Mbeya Ciy katika mchezo wa kirafiki uliopigwa leo kwenye uwanja wa Sokoine jijini hapa wenye...
SIMBA SC YAWAFATA RAJA CASABLANCA KIMAFIA…WACHEZAJI WAKOSA TIKETI ZA NDEGE
MASTAA wa Simba wasiokuwepo timu za taifa wanaendelea kujifua na mazoezi ya mwisho leo asubuhi kabla ya kuanza safari ya kwenda nchini Morocco, huku...
KOCHA TAIFA STARS:- NATEGEMEA UGANDA WATABADILIKA KATIKA MECHI HII…LAZIMA WAFE KIFO...
KAMBI ya timu ya taifa, Taifa Stars imezidi kunoga baada ya mabeki wawili wa pembeni wa Simba, Shomary Kapombe na Mohammed Hussein 'Tshabalala' kuongezwa...
TIKETI ZATOLEWA BURE KWA MASHABIKI LEO…MECHI YA TAIFA STARS VS...
KILA mmoja hawezi kuamini kile ambacho Stars watakifanya leo wakati watakapokuwa wakivaana na Uganda kwenye mchezo wa kufuzu kwa fainali za Kombe la Mataifa...
MTAALAMU WA YANGA SC…ATEKWA NA WALIBERIA…APATIWA MISHENI YA SIRI
UBORA iliyonayo Yanga kwa sasa unavuma sio hapa Tanzania tu, bali hadi katika mataifa mengine ya Afrika na sasa Shirikisho la Soka Liberia limekubali...
KOCHA YANGA AMPIGIA SALUTI DIARRA…AONGOZA KWA UOKOAJI SHIRIKISHO
MASTAA wa Yanga hadi sasa wameshavuna kiasi cha zaidi ya Sh 316 milioni kama bonasi ya kufanya vizuri kwenye mechi tatu kati ya nne...
MASHABIKI WA MBEYA CITY WACHARUKA…”KOCHA ANAZINGUA SANA…TIMU HAINA UWEZO KABISA
Baaada ya kuambulia kipigo cha mabao 1-2 nyumbani kutoka kwa Ruvu Shooting, mashabiki wa Mbeya City wamemjia juu kocha wao, Mubiru Abdallah.
Mbeya City wamekuwa...
TANZANIA YATOLEWA ‘USHAMBA’ KOMBE LA DUNIA WANAWAKE INDIA…
Timu ya taifa ya wasichana U17 (Serengeti Girls) imeanza vibaya Fainali za Kombe la Dunia baada ya kuchapwa mabao 4-0 na Japan katika mchezo...