Home Tags Habari za yanga

Tag: habari za yanga

AHMED ALLY…MNATAKA KAGOMA SUBIRINI MIAKA 10..KAMA MKUDE NA CHAMA

0
AFISA Habari na Mawasiliano wa Simba Ahmed Ally amewatania watani zao Yanga kama wanamtaka kiungo wao Yusuph Kagoma wasubiri misimu 10, ndiyo watamuacha akatafute...

SIMBA, YANGA KUUNGANA NA WACHEZAJI WAO UGENINI

0
Katika kuhakikisha nyota wake wanaozitumikia timu za taifa wanaziwahi mechi zao za ugenini za mashindano ya klabu Afrika wiki ijayo, Yanga na Simba zimepanga...

YAO JESHII ARUDI MAZOEZINI YANGA

0
WAKATI Klabu ya Yanga inaendelea kujifua Dar es Salaam ikijiandaa na mchezo wa kwanza wa raundi ya pili wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi...

MAYELE ATAMANI KURUDI TANZANIA…MISRI PAGUMU

1
ALIYEWAHI kuwa mshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele anayekipiga katika klabu ya FC Pyramids ya Misri, amefunguka na kuelezea ugumu anaokutana nao huko Misri. Mayele ameenda...

MOROCCO AWEKA WAZI MBINU 3 ZA KUIMALIZA GUINEA

0
TANZANIA leo itashuka kwenye Uwanja wa Charles Konan Bannyo, uliopo mjini Yamoussoukro nchini Ivory Coast kucheza mchezo wa pili wa Kundi H, katika kampeni...

INSHU YA LAMECK LAWI NA KAGOMA NDANI YA SIMBA,YANGA TFF IKO...

0
Bado mjadala mdomoni kwa mashabiki wa Soka hususani wale Simba, Yanga na Coastal ni hatma ya wachezaji wawili tu. Yusuf Kagoma na Lameck Lawi. Kwa...

CV YA MCHEZAJI HUYU MPYA WA YANGA PRINCESS.

0
Leo nakusogea CV iliyokamilika ya kitsa mpya wa Yanga mwenye akili mingi nguvu kidogo kama Bacca tu. ▶ Majina yake kamili: Uzoamaka Confidence Igwe. ▶ Amezaliwa...

FREDDY AKANA KURUDI YANGA.

1
Aliyekuwa mshambuliaji wa Simba, Freddy Michael ameshindwa kujiunga na USM Alger ya Algeria kwa kigezo cha kutowahi kuchezea timu ya taifa, lakini mwenyewe amezima...

TAIFA STARS KWENYE MGONGO WA MZIZE,WAZIR JR NA KACHWELE

0
WASHAMBULIAJI Wazir Junior, Clement Mzize na Cyprian Kachwele wana jukumu kubwa la kuiongoza safu ya ushambuliaji ya Taifa Stars katika mchezo wa leo dhidi...

MAGOMA NA WENZAKE CHALI..RUFAA YAO YATUPWA..YANGA YAPEWA USHINDI

0
MAHAKAMA Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imetupilia mbali rufaa ya Juma Ally Magoma na mwenzake Geofrey Mwaipopo waliyokuwa wameikata dhidi ya Bodi ya...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS