Home Tags Habari za yanga

Tag: habari za yanga

AUCHO AMCHAMBUA ABUYA NA KUMWAGA YA KAMBINI

1
Kiungo wa Yanga Khalid Aucho ukipenda muite Daktari wa Soka, Akiwa live kwenye insta story akifanya mahojiano na Mwandishi wa Habari kutoka Kenya @bedjosessien...

KAZINI KWA KIBWANA KUNA KAZI…BENCHI LINAUA KIPAJI CHAKE

0
Inanikumbusha kauli aliyowahi kuzungumza mlinzi wa kulia wa Klabu ya Yanga SC, Kibwana Shomari baada ya kusajiliwa Attohoula Yao msimu uliopita kuwa kazini kwake...

SURE AFUNGUKA MAZITO YANGA.

0
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Salum Abubakar ‘Sure Boy,’ ameweka wazi kuwa chini ya kocha Miguel Gamondi, kila mchezaji ndani ya kikosi cha Yanga ana...

MZIZE ANA BALAA AKITOKEA BENCHI…ATOBOA MWENYEWE

0
MSHAMBULIAJI wa Yanga na timu ya taifa ta Tanzania Clement Mzize, amesema yeye ni hatari zaidi akitokea benchi kuliko akianza katika kikosi cha kwanza...

ALI KAMWE AWAVAA SIMBA…NENDENI KWENU BUNJU

0
Afisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe amewajibu baadhi ya mashabiki wa Klabu wa Simba wanaosema kwamba Yanga wamekwenda kufanya ushirikina kwenye uwanja...

KARIAKOO DABI YAPELEKWA MKAPA…NI TAREHE 19 OKTOBA

0
Mechi ya mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu msimu huu baina ya Simba na Yanga iliyopangwa kuchezwa Oktoba 19 katika Uwanja wa KMC Complex,...

STRAIKA LA MAGOLI YANGA KUJIUNGA KARIBUNI

0
MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga Princess, Sabina Thom anatarajiwa kujiunga na kambi ya timu hiyo baada ya kumaliza fainali za Klabu Bingwa Afrika kwa Wanawake. Yanga...

GAMONDI AELEZA ALIVYOHUSIKA…KUMBAKIZA MZIZE YANGA

0
KOCHA wa Yanga, Miguel Gamondi ameweka wazi kwamba alihusika katika ushawishi wa kumbakisha mshambuliaji Clement Mzize asiondoke klabuni hapo huku akitaja sababu mbili za...

MZIZE ATABIRIWA MAKUBWA…EDO KUMWEMBE ATOA NENO

0
MSHAMBULIAJI wa Yanga Clement Mzize ambaye yupo timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars amekuwa na kiwango kizuri sana tangu kuanza kwa msimu huu,...

SABABU ZA KUIFUNGA ETHIOPIA ZATAJWA…TAIFA STARS KAZINI LEO

0
KIKOSI cha Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', leo kinaanza kampeni ya kusaka tiketi ya kushiriki Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025,...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS