Tag: habari za yanga
GAMONDI AIPASUA CAF…KUELEKEA MCHEZO WA PILI ETHIOPIA
KOCHA Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi ameonekana kutofurahishwa na namna ambavyo Shirikisho la Soka Afrika CAF, linavyopanga ratiba zake ukizingatia michuano ya kimataifa na...
HATMA YA RUFAA YA MAGOMA KUJULIKANA SEPTEMBA 9
BAADA ya Mahakama kuipa ushindi Yanga dhidi ya Mzee Magoma sasa hatma ya rufaa ya hukumu hiyo itajulikana Septemba 9, mwaka huu wakati Mahakama...
KISA KIATU AZIZ KI NA DUBE WAKUTANA FARAGHA.
Wakati Yanga jana ilikuwa uwanjani kuvaana na Kagera Sugar katika mechi ya kwanza ya Ligi Kuu Bara msimu huu iliyopigwa kwenye Uwanja wa Kaitaba,...
TATIZO LA YANGA LIKO HAPA…LIMEWEKWA HADHARANI
KOCHA MKUU wa Yanga Miguel Gamondi ameweka wazi kuwa tatizo kubwa ambalo lilikuwa kwenye mchezo wao wa kwanza ndani ya Ligi Kuu Bara dhidi...
YANGA YAANZA KAZI…NZENGELI ANA BALAA
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, Yanga wameanza utetezi wa ubingwa huo kwa msimu wa 2024/2025 baada ya kuwachapa Kagera Sugar...
SIMBA YASTUKIA JAMBO AL AHLI TRIPOLI
SIMBA Wamesitukia inshu hii. Tayari viongozi wa timu hiyo wamekaa kikao na kuamua ni namna gani wataicheza mechi ya mkondo wa kwanza ya Kombe...
KICHEKO KWA AZIZ KI…KILIO KWA NAOUMA SIMBA
TAARIFA yenye machungu kwa beki mpya wa Simba, Valentin Nouma ni kwamba kocha Brama Traore, amemtema katika kikosi cha timu ya taifa ya Burkina...
BENO KAKOLANYA ASIMULIA MECHI YAKE YA KWANZA
Kipa wa zamani wa Simba na Yanga Beno Kakolanya kwa sasa anakipiga na wauaji wa Kusini Namungo FC, amesema kuanza kwao vibaya mechi ya...
ATEBA KUANZA KAZI DHIDI YA AL HILAL YA IBENGE
STRAIKA mpya wa Simba Leonel Ateba, anatarajia kuongoza safu ya ushambuliaji klabuΒ hiyo katika mechi ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya Al Hilal kutoka...
YANGA YAANZA SAFARI YA UBINGWA WA 31
MABINGWA Watetezi wa Ligi Kuu Bara KlabuΒ ya Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi leo Agosti 29 2024 itakuwa na kibarua cha kusaka...