Tag: habari za yanga
SIMBA NA YANGA KUITEKA ALGERIA KWA WAKATI MMOJA
Kwa mara ya kwanza, timu za Simba na Yanga zitakuwa nchini Algeria kwa wakati mmoja (ndani ya wiki moja) kwenye mechi za michuano ya...
KUELEKEA DABI YA KARIAKOO…MKUDE ATIBUA MAMBO.
KIUNGO wa Mpira Jonas Mkude anayekipiga ndani ya kikosi cha Yanga amesema kuwa hana hofu na Kariakoo Dabi kutokana na uzoefu alionao muda wowote...
SIMBA KUANZISHA CHANELI YAO YA KIARABU NA KIFARANSA
Mwenyekiti wa Simba SC, Murtaza Mangungu amesema kwakuwa klabu hiyo inasafiri na kushiriki michuano mikubwa Afrika, wanatarajia kuanzisha chaneli mtandaoni.
Kwa lugha ya kiarabu na...
NYIE MNAIDHARAU YANGA KWAKUWA IPO KARIAKOO TU
MCHAMBUZI na Mwanachama wa Yanga Dominic Salamba amewamwagia maua yao Wananchi kwa kuwa na timu bora Afrika.
Salamba ameipatia sifa Yanga kutokana na kufanya makubwa...
GAMONDI ANAPIGA HESABU ZAKE KWA AKILI KUBWA
YANGA inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi baada ya kucheza mechi nne ambazo ni dakika 360 imekomba ushindi mechi zote za Ligi Kuu Bara.
Ipo...
IBRA BACCA AUTAKA UFUNGAJI BORA
BEKI wa kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi Ibrahim Bacca amesema kuwa mpango mkubwa ni kuona kwamba anafunga kila mechi.
Nyota huyo...
SIO SIMBA WALA YANGA ANAWEZA KUCHUKUA UBINGWA WA CAFCL.
Wachambuzi wa michezo wameendelea kutoa maoni yao kuhusu timu za ndani zinashiriki michuano ya Kimataifa haswa kwa Simba na Yanga.
Moja kati ya wachambuzi hao...
MOHAMED ZOUGRANA TISHIO KWA YANGA
Baada ya kupangwa kwa droo ya Ligi ya Mabingwa na Yanga kujua watakutana na nani na nani katika hatua ya makundi, basi moja ya...
SIMBA NA WAARABU KWANI KUNA UGOMVI?
Klabu ya Simba imejikuta ikiangukia kwenye mikono ya waarabu kwa mara nyingine tena, na safari hii timu zote alizopangwa nazo zinatoka nchi za magharibi...
YANGA YAPANGWA NA MAZEMBE…BENCHIKA NDANI
ILISUBIRIWA SANA, hatimaye leo imewadia baada ya droo ya CAF ligi ya mabingwa Afrika kuchezeshwa rasmi.
Yanga ambao ni wawakilishi pekee wa Tanzania kwenye michuano...