Tag: habari za yanga
VILABU 10 BORA KWA MUJIBU WA CAF…SIMBA WAMO
SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limetoa Orodha mpya ya Vilabu Bora Afrika kuelekea msimu mpya 2024/25.
Miongoni mwa Vilabu bora kwa sasa Afrika, Simba inashika...
KIUNGO WA BOLI AFICHUA SIRI YA MAFANIKIO YA YANGA
MRITHI WA CHAMA ndani ya Yanga Farid Mussa ameweka wazi kuwa wanafanya kazi kwa ushirikiano kufikia malengo ya timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu...
GUEDE AWAPIGA MKWARA YANGA…WAPINZANI WANGU.
MSHAMBULIAJI mpya wa Singida Black Stars, Joseph Guede aliyekuwa akikipiga Yanga msimu uliopita amechimba mkwara mapema akisema anatarajia msimu bora kutokana na wachezaji waliopo.
Guede...
MIGUEL GAMONDI AWAPA 5 MASTAA WAKE.
KOCHA Mkuu wa Yanga MIGUEL Gamondi, amewapa tano mastaa wake ikiwa ni pamoja na Clement Mzize, Duke Abuya, Dickson Job kwa kushirikiana kuanza na...
VITAL’O WAMTAJA AZIZ KI, MAXI NA DIARRA
Uongozi wa timu ya VitalβO ya Burundi umewataja wachezaji wa Yanga SC, kipa Djigui Diarra na viungo Maxi Nzengeli na Stephane Aziz KI kama...
CEO FOUNTAIN GATES…KAGOMA TUMEMUUZA SIMBA…NAWASHANGAA YANGA
CEO wa Fountain Gate FC (Zamani Singida Fountain Gate) amekiri kushangazwa na taarifa za Yanga kufungua kesi na kumuwekea pingamizi mchezaji Yusuf Kagoma
"Ni kweli...
MKWARA WA GAMONDI YANGA…WAKOLEZWA MOTO NA INJ HERSI
MASHABIKI wa Yanga wanatamba wanavyotaka, hata salamu zao tu zimekaa kwa kejeli wakitambia mwanzo wa msimu wakianza kwa kuchukua mataji wakiwachapa vigogo Simba na...
YANGA SIRI IMEFICHUKA…MIL 300 ZATUMIKA KUIANGAMIZA SIMBA…AZAM WAMO
YANGA HII UNAIFUNGAJE? wengine wanasema WE HUOGOPI? ila ukweli wa mafanikio ya Yanga haswa kwenye mechi mbili za Ngao ya Jamii kati ya Simba...
PRINCE DUBE ANA MOTO…TAKWIMU ZAKE TANGU ATUE YANGA ZINATISHA
Misimu 4, Prince Dube hakushinda taji lolote akiwa na Azam FC, lakini ndani ya mwezi 1 akiwa Yanga tayari ana mataji (2)
Takwimu za Prince...
FEI TOTO AMFUATA ENG HERSI…AMKUMBATIA HADHARANI
MUDA ambao timu ya Azam FC inakwenda kuchukua medali ya mshindi wa pili wa michuano ya Ngao ya Jamii, kama kuna tukio kilikuwa linasubiriwa...