Tag: habari za yanga
KUHUSU CHAMA…MZIZE AMPA MAUA YAKE
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Clement Mzize amesema ubora wa pasi ya mwisho ya Clatous Chama ulimpa urahisi wa kukwamisha mpira nyavuni.
Mzize alifunga bao la nne...
NSIMBA YAWATULIZA MASHABIKI ZAKE…KAULI NI MOJA TU
MFUNGAJI wa bao pekee katika mechi ya jana kati ya Simba na Coastal Union, Salehe Karabaka, amewatoa hofu wanachama na mashabiki wa timu hiyo...
GAMONDI BADO HAJAMALIZA…ATOA KAULI YA KIBABE LEO
MUARGENTINA wa Yanga, Miguel Gamondi, amesema moja ya falsafa anazokuja nazo msimu ujao ni kutoruhusu bao kirahisi kwenye mchezo wowote ambao timu yake itacheza.
Gamondi...
MOLOKO AELEZA A-Z INSHU YA NAMUNGO…YANGA PIA
MCHEZAJI wa zamani wa Yanga, Jesus Moloko amefunguka kilichomzuia asirudi Tanzania baada ya kutakiwa na Namungo kisha kujiunga na timu ya Diyala SC iliyopo...
HUKU AZIZ KI, KULE FEI TOTO…MTASEMA WENYEWE NANI BORA
MSIMU mpya wa Ligi kuu unarudi tena kuanzia Agosti 16 ambapo ile vita kati ya Aziz Ki na Fei Toto imerejea tena.
Katika mchezo wa...
KAULI YA GAMONDI LEO…KUELEKEA FAINALI, YANGA VS AZAM
KOCHA Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi amesema kwamba michezo ya Ngao ya Jamii inaongeza ubora zadi kwa Kikosi chake, na haswa mechi dhidi ya...
SABABU MECHI ZA LIGI KUU KUTOTUMIA VAR
BODI ya Ligi imesema hakutakuwa na video ya kusaidia waamuzi VAR katika mechi za mwanzo wa Ligi Kuu mpaka hapo baadaye kutokana na marefa...
SIMBA HARAKA WAANZA KUTAFUTA STRAIKA LA MABAO
BAADA ya mechi ya nusu fainali ya Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga na kuchapwa bao 1-0, viongozi wa Simba na Kocha Mkuu, Fadlu...
MAXI NZENGELI APANDISHA MZUKA…KUWAFUNGA SIMBA
Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Maxi Nzengeli amesema timu yake ina wachezaji wengi wenye ubora huku akimtaja Pacome Zouzoua na kuweka wazi kuwa kuifunga Simba...
FAINALI YA KISASI LEO…YANGA VS AZAM FC
Leo kuna uhondo mwingine katika mechi hiyo ya kisasi kwa timu hizo mbili zilizomaliza nafasi mbili za juu za Ligi Kuu Bara msimu uliopita.
Yanga...