Tag: habari za yanga
SIMBA YAWEKA REKODI NYINGINE AFRIKA…KWA MKAPA FULL HOUSE
KUELEKEA Agosti 3 Katika Tamasha kubwa la Michezo Afrika la Simba Day uongozi wa Simba umebainisha kuwa mashabiki wamefanya jambo kubwa ambalo linastahili pongezi...
KOCHA RED ARROWS AKUBALI MZIKI WA YANGA
KOCHA Mkuu wa Red Arrows ya Zambia, Chisi Mbewe amesema, baada ya kupata mualiko wa kucheza na Yanga katika kilele cha ‘Wiki ya Mwananchi’,...
MBABE WA AL AHLY NDANI YA YANGA…NYIE HAMUOGOPI
MICHUANO YA CAFCL hatua ya makundi Al Ahly Mapharao wa Misri walikuwa ni imara kwenye upande wa ulinzi kutokana na ukuta wao kutoruhusu mabao...
PIGO KWA SIMBA…KAGOMA KUIKOSA MECHI NA YANGA
Kiungo mkabaji wa Simba, Yusuph Kagoma (28) atakaa nje ya uwanja kwa wiki mbili hadi tatu baada ya kupata majeraha akiwa kambini Ismailia, Misri.
Kagoma...
MANARA CHIMBA MKWALA…SIMBA ASILETE TIMU
Mhamasishaji wa Klabu ya Yanga SC, Haji Manara amesema Simba SC wasiende Uwanjani Agosti 08 katika pambano lao Ngao ya Jamii la kuashiria kufunguliwa...
CLATOUS CHAMA ATOA ONYO KWA SIMBA
MWAMBA wa Lusaka Clatous Chama, amefurahishwa na timu yake mpya (Yanga) kutwaa Kombe la Toyota na kuvaa medali ikiwa ni muda mfupi tu baada...
INJIA HERSI MBEBA MAONO WA YANGA…ASIFIWE AKIWA HAI
ITAKUMBUKWA Julai 9, 2022, ilikuwa siku ya kihistoria kwa mashabiki na wanachama wa Yanga baada ya kumchagua Injinia, Hersi Said kuwa rais wa klabu...
RANGA CHIVAVIRO AKUBALI MZIKI WA YANGA…MSIKIE ALICHOSEMA
Mshambuliaji wa Kaizer Chiefs Ranga Chivaviro ambaye aliwahi kuwindwa na Yanga akachomoa dakika za mwisho, alisema Yanga iliwaweka kwenye wakati mgumu ambapo nidhamu yao...
NABI ATOA ANGALIZO KWA SIMBA…JIPANGENI VIZURI
KOCHA Mkuu ambaye ametambulishwa hivi karibuni na Kaizer Chiefs, Nasredine Nabi amesema kuwa Yanga ina mabadiliko makubwa na chochote kinaweza kumkuta yoyote msimu ujao.
Nabi...
YANGA KUCHINJA 20…KILELE WIKI YA MWANANCHI
UONGOZI wa Yanga unatarajia kuchinja ng'ombe 20 kwa ajili ya kugawa supu kwa mashabiki wa timu hiyo kabla ya tamasha la Wiki ya Mwananchi,...