Home Tags Habari za yanga

Tag: habari za yanga

YANGA WABADILI GIA ANGANI…HAWAENDI TENA KWA MADIBA

0
YANGA wabadilisha gia baada ya kuweka wazi kuwa hawataenda nje ya nchi kuweka kambi, kama ilivyokuwa mipango yao ya awali na kuendelea kusalia Avic...

KAULI 3 ZINAZOASHIRIA UWEPO WA AZIZ KI YANGA.

0
Kumekuwa na hisia tofauti juu ya hatima ya Stephene Aziz Ki licha ya Rais wa Yanga, Hersi Said kudai kwamba bado hajasaini mkataba mpya...

JEMEDARI SAID: AZIZ KI AMESAINI MKATABA YANGA…CR BELOUIZDAD YATUMA OFA

0
"AZIZ KI ALISHASAJILIWA YANGA SC KITAMBO, ZINGINE MBWEMBWE TU ILI KULETA MVUTO KWENYE UTAMBULISHO WAKE." Mchambuzi Nguli wa Soka nchiniΒ  Jemedari Said Bi Kanzumari amesema...

AZIZ KI ATUA BONGO KININJA…YANGA YAMFICHA HOTELINI

0
Taarifa itakayowashusha presha mashabiki wa Yanga ni kwamba hatimaye kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Stephanie Aziz KI, amewasili nchini huku akitolewa Uwanja wa Ndege...

ANDABWILE NI MALI YA YANGA…YANGA YAIJIBU SIMBA

0
KLABU ya Yanga imekamilisha usajili wa kiungo mkabaji, Aziz Andabwile kutoka Singida Fountain Gates kwa mkataba wa miaka miwili. Kiungo huyo amejiunga na Yanga kuongeza...

SIMBA KUACHANA NA KIPA WAO…SABABU NI HIZI

0
MABINGWA wa Ligi ya Wanawake SIMBA Queens msimu ujao haitaendelea na kipa wa timu hiyo, Zubeda Mgunda baada ya kumaliza mkataba wake mwishoni mwa...

YANGA YAMFUATA NABI SOUTH…INJIA HERSI AFUNGUKA MAZITO

0
YANGA SC itacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini inayonolewa na aliyekuwa kocha wa klabuni hiyo Nasreddine Nabi Julai 28...

KAGAME CUP KUANZA KINYONGE…SIMBA NA YANGA WASUSIA

0
PAZIA la mashindano ya klabu bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kombe la Kagame) 2024 linafunguliwa leo ikiwa ni mara ya kwanza katika historia kwa...

YANGA YAIJIBU SIMBA…MCHONGO UKO HIVI…SHUKA NAYO

0
YANGA Ilikuwa ya kwanza kumfuata Yusuph Kagoma na kumsainiha mkataba wa awali, lakini Simba ikaingilia dili hilo na kupita nae kimafia. MCHONGO MZIMA ULIKUWA HIVI. Yanga...

MAPYA YAIBUKA…SAKATA LA AZIZI K YANGA..HERSI AFUNGUKA

0
Rais wa Yanga, Mhandishi Hersi Said amesema hadi sasa kiungo wa klabu hiyo, Stephen Aziz Ki hajasaini mkataba mpya na kwamba mazungumzo yanaendelea na...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS