Tag: habari za yanga
YANGA YAMUONGEZA MIWILI DIARRA…NA MSHAHARA MNONO.
MLINDA MLANGO NAMBA MOJA WA Yanga, Djigui Diarra raia wa Mali, ameongeza mkataba wa kuendelea kuwatumikia wananchi kwa misimu mawili ijayo.
Diarra ambaye alisajiliwa na...
KISA YANGA MAMELODI..YAMTIMUA MOKWENA…NA WACHEZAJI 4
INAELEZWA Kwamba kiwango kibovu ilichokionyesha Mamelodi Sundowns msimu uliopita ikiwemo kushindwa kufurukuta mbele ya Yanga katika mechi mbili timu hizo zilipokutana kwenye robo fainali...
SIMBA YAPIGA HODI KWA FEI TOTO…AZAM FC YATAJA BEI
SIMBA na Mamelodi Sundowns zimeulizia uwezekano wa kumsainisha mkataba staa wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ lakini zikaambiwa hauzwi.
Fei Toto ambaye alitua Azam...
MAPYA YAIBUKA SAKATA LA CLATOUS CHAMA…HAPOKEI SIMU ZA YANGA
TAARIFA kutoka chanzo cha kuaminika Simba SC, kinaeleza kwamba Sakata la Clatous Chama kujiunga na Yanga bado ngoma ni mbichi, kwa sababu Chama hajafurahishwa...
MO DEWJI ASIMULIA URAFIKI WAKE NA YUSUF MANJI ULIPOANZIA.
BAADA YA Msiba wa aliyewahi kuwa Mfadhiri na Muwekezaji wa Yanga Yusuf Manji, Mfanyabiashara na Muwekezaji wa Simba Mohammed Dewji MO, ametoa historia fupi...
ALI KAMWE AJIBU CHAMA KUTAMBULISHWA BILA JEZI…MASHABIKI WAJA NA KEKI
AFISA Habari wa Yanga Ali Kamwe amezungumzia namna walivyomtambulisha aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Simba Clatous Chama, baada ya kukamilisha usajili huo waliokuwa wanautamani kwa...
MZEE WA KALIUA OSCAR: WATU WATAKULA SANA 5G…YANGA YA CHAMA NA...
KILA unapovuta picha ya uwepo wa Clatous Chama, Maxi Nzengeli, Stephen Aziz KI, Prince Dube na Pacome Zouzoua unachoona ni ushindi tu.
Unachoona kingine ni...
FARID MUSSA AONGEZA MIWILI YANGA…KUMPA CHAMA JEZI NAMBA 17?
Yanga SC imetangaza kumuongezea mkataba wa miaka miwili Nyota wa Kitanzania Farid Mussa Malick utakaomalizika mwaka 2026.
Nyota huyo ni moja ya nyota waandamizi wa...
HABARI ZA USAJILI…SIMBA YATUA ASEC NA JINA HILI LA KIUNGO.
SIMBA inadaiwa ipo katika harakati za kunasa saini ya kiungo wa Asec Mimosas, Josephat Arthur Bada zilizoingia ugumu baada ya Ismaily ya Misri kuingilia...
JINSI PRINCE DUBE ALIVYOHUSIKA KIPRE JR KUONDOKA AZAM
NI MWEZI wa Usajili na Vimbwanga vyake, Tumesikia habari za Chama na Yanga na sasa tuna hii ya Prince Dube baada ya kumalizana na...