Tag: habari za yanga
YANGA YAZITAKA TATU ZA KENGOLD FC
MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa wapo tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ken Gold unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa...
YANGA ITAFIKA FAINALI CAF…GAMONDI AFUNGUKA
Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi amesema anaiona Yanga ikiwa karibu na kutwaa ubingwa wa Afrika kwa miaka ya karibuni kutokana na viwango vya wachezaji...
HADI SASA FEI TOTO AMEIPIGA YANGA MABAO MATATU
Wiki iliyopita habari iliyotawala ulimwengu wa michezo Tanzania ni kauli ya nyota wa Azam FC na Taifa Stars, Feisal Salum ‘Fei Toto’ kuhusu uhusiano...
AZIZ ANDABWILE AFICHUA SIRI YA USHINDI WA YANGA
Kiungo wa Yanga, Aziz Andabwile amesema wanafahamu kilichowahi kuwakuta mkoani Mbeya, Yanga alipopoteza mechi zake dhidi ya Ihefu kwa misimu miwili mfululizo, hivyo watakuwa...
NAMBA ZA CHAMA CAF ZA MOTO
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Clatous Chama amehusika kwenye mabao manane kati ya 17 yaliyofungwa na Yanga ikitinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa...
KWANINI WACHEZAJI HUVAA VEST ZA CATAPULT? KAZI YAKE NI HII
Bila shaka umewahi kuwaona wachezaji wengi wa Ulaya na hata wa hapa Tanzania kama Simba, Yanga, Azam na vilabu vingine vikubwa wakiwa wamevalia vest...
ETOO AMEANZA MABALAA YAKE..TANZANIA IWE NA TIMU 8 KIMATAIFA
Samuel Etoo amesema Mataifa yenye Nguvu kisoka ngazi ya Vilabu kama Tanzania yanapaswa kuwa na timu 4 Kwenye michuano ya Ligi ya mabingwa Afrrika...
GAMONDI ANAJIAMINI KINOUMA…AWACHIMBA BITI KENGOLD.
Wakati mashabiki wa Yanga wakitambia kikosi chao kushinda kwa idadi kubwa ya mabao dhidi ya Ken Gold, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Miguel Gamondi...
FREDDY AUKUBALI MOTO WA ATEBA…AITABIRIA SIMBA FAINALI
Straika wa zamani wa Simba, Freddy Michael ambaye alikuwapo uwanjani akiishuhudia timu yake ya zamani ikimkanda Mwarabu mabao 3-1 na kufuzu hatua ya makundi...
FADLU: SIMBA INAENDA KUWA TISHIO
KOCHA Mkuu wa Simba, Fadlu Davids, amewaambia wanachama na mashabiki wa timu hiyo ambao wanaonekana kuanza kukisifia kikosi chao baada ya kutinga hatua ya...