Home Tags Habari za yanga

Tag: habari za yanga

BREAKING NEWS…YANGA YAFUNGIWA KUSAJILI, SABABU ZAWEKWA WAZI

0
KLABU YA YANGA imefungiwa kusajili wachezaji wapya, kutokana na kukiuka kanuni za usajili za FIFA. Taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu TFF, iliyotoka leo...

JONAS MKUDE MFALME WA MATAJI…MAKOMBE 19, ROBO FAINALI CAF 4, DABI...

0
Mwishoni mwa msimu uliopita Yanga ilifanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara na Kombe la FA, huku kiungo wa timu hiyo Jonas Mkude akiendelea...

YANGA YASANUKA INSHU YA DIARRA…YAINGILIA KATI DILI LAKE

0
KIPA chaguo la kwanza ndani ya Yanga, Djigui Diarra anatajwa kuwa ameomba kuongezewa mshahara ili aendelee kutimiza majukumu yake ndani ya timu hiyo. Ipo wazi...

YANGA YAMFICHA AGEE AVIC…ANA BALAA ZITO…INJINIA HERSI AMALIZA MAMBO

0
YANGA bado inapiga hesabu za kusajili winga wa maana na mezani kwao kuna mawinga wawili akiwemo Philipe Kunzumbi na Basiala Agee, lakini mmoja kati...

DILI LA AZIZ KI YANGA LIMETIKI…ATIMKIA UFARANSA KULA BATA

0
TAARIFA za kuaminika kutoka ndani ya Yanga zinaeleza kuwa kiungo raia wa Burkina Faso Stephan Aziz Ki amesaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kukipiga...

YANGA INALIPA MISHAHARA MIZURI…YATUMIA BIL 7 KUWALIPA…PACOMEE,AZIZ KI

0
KLABU ya Yanga inaonyesha kuwa soka kwa sasa ni ajira ndiyo maana kwenye matumizi yao, mishahara imechukua fedha nyingi zaidi kuliko kitu kingine chochote...

KUNA HII KAULI YA SENZO YANGA…MAMBO MAZURI YANAKUJA

0
ALIYEKUWA CEO wa Yanga, Muafrika Kusini Senzo Mbatha amesema mrithi wake Andre Mtine anastahili pongezi nyingi kutokana na mafanikio ya timu hiyo. Senzo aliiongoza Yanga...

YANGA KUWEKA KAMBI YA PRE SEASON URUSI…KILA KITU KIMEKAMILIKA

0
KLABU ya Yanga imepokea mualiko wa kuweka kambi ya maandalizi ya msimu wa 2024/25 huko Ulaya,  hii ni baada ya miaka mitatu ya klabu...

MWAMNYETO AFUNGUKA KILA KITU…SIMBA YAMFUATA

0
BAADA ya mchezo wa hisani kati ya Team Mwamnyeto dhidi ya Mbeya All Stars, beki kitasa wa klabu ya yanga anayehusishwa zaidi kutakiwa na...

YANGA YAINGILIA KATI USAJILI WA PHILIPPE KINZUMBI…INSHU IKO HIVI

0
MABOSI wa Yanga wameingilia kati dili la mchezaji wa TP Mazembe Philippe Kinzumbi ambaye Waarabu walitega mtego ili kumnasa. licha ya kuwepo kwa tetesi kiungo...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS