Tag: habari za yanga
UONGOZI WA YANGA WATOA TAMKO HILI BAADA YA KUPOTEZA
Uongozi wa Yanga umetoa kauli yake mara baada ya timu yao kupoteza mechi ya kwanza ya ligi ukisema wamepoteza mechi na sio ubingwa wao...
YANGA YA GAMONDI SASA MBELE YA SIMBA CAFCL
Ofisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe amesema kuwa wanatamani kukutana na watani zao wa jadi, Simba SC kwenye hatua ya makundi ya...
MAJANGA, LOMALISA KUIKOSA AL MAREIKH ISHU IKO HIVI
Beki wa kushoto wa Young Africans, Joyce Lomalisa anaendelea vizuri licha ya jeraha alilolipata kwenye mechi ya Namungo FC na kushindwa kuendelea na mechi...
HII HAPA NDIO MITEGO MIWILI YA YANGA
Yanga haijaruhusu bao lolote mpaka sasa kwenye ligi na inachofanya ni kuendelea kushusha vipigo vyenye ujazo tofauti lakini mitego miwili inayowapa shida wapinzani imejulikana.
Ikiwa...
YANGA WASANUKIA MTEGO HUU WA AL MAREIKH
Ofisa Habari wa Yanga, Alikamwe amedai kuwa wapinzani wao Al Merrikh wameanza kuwasifu kuwa Wananchi wanaogopeka Afrika wao wamesoma Cuba wanajua huo ni Mtego
"Tumesikia...
GAMONDI APEWA WAKATI MGUMU NA MWAMNYETO
Kikosi cha Yanga, kinaendelea kujifua kwa ajili ya mechi ya marudiano ya raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Merrikh...
KATIKA HILI LA MASHABIKI YANGA NDIO INAONGOZA, ISHU IKO HIVI
Mchambuzi maarufu wa masuala ya soka kutoka EATC na EA Radio, Ibra Kasuga amesema kuwa Klabu ya Yanga ndiyo inaongoza kwa kuwaposti mashabiki zake...
HII NDIO TIMU BORA KWA SASA, JULIO AFUNGUKA HAYA
Aliyewahi kuwa Kocha na Mchezaji wa Simba SC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ ameibuka na kutamka kuwa, Young Africans ni bora kwa sasa kutokana kiwango bora...
YANGA KWAMBINDE SANA DHIDI YA NAMUNGO, MUDATHIR AFANYA MIUJIZA
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Timu ya Yanga wameibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Namungo Katika Uwanja wa Azam Complex...
KILA MCHEZAJI ATAPATA NAFASI YANGA, GAMONDI AFUNGUKA KILA KITU
Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi, amesema ana wachezaji wengi wazuri katika kikosi chake jambo linalomfanya achukue jukumu la kutoa nafasi kwa kila mmoja kuonesha...