Home Tags Habari za yanga

Tag: habari za yanga

MIGUEL GAMONDI ATUMA SALAMU SIMBA NA AZAM…ANZA NA KENGOLD

0
WAANCHI Yanga usiku wa jana ilikuwa visiwani Zanzibar kumalizana na CBE SA ya Ethiopia katika mechi ya marudiano ya raundi ya pili ya Ligi...

GAMONDI ACHIMBA MKWARA…YANGA YAVUNA MABILIONI

1
KLABU ya Yanga imejihakikishia Sh30 milioni kutoka kwa Rais Samia Suluhu Hassan kupitia za ‘Bao la Mama’, pia baada ya kutinga makundi imejihakikisha Dola...

YANGA YATINGA MAKUNDI CAF KWA REKODI YA KIBABE…CHAMA ANAKIMBIZA TU

1
HISTORIA imeandikwa tena Kibabe usiku wa jana Yanga ikitinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa mara ya pili mfululizo ikiing’oa CBE...

KAULI YA AHMED ALLY YATHIBITISHA USAJILI WA MPANZU

1
Winga wa zamani wa AS Vita Club Ellie Mpanzu yuko nchini kukamilisha taratibu za usajili wake na Simba, imefahamika. Meneja wa Habari na Mawasiliano wa...

AHMED ALLY AZIPA MBINU SIMBA NA YANGA CAF

0
Simba na Yanga zikiwa na mchezo wa raundi ya pili katika Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika, kocha mkuu wa JKT...

GAMONDI ANAUTAKA UBINGWA WA CAFCL

0
Baada ya msimu uliopita wa mashindano 2023/24 kumalizika, Yanga ikiwa na mataji yote ya ndani, Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho (FA) huku...

YAO AMPA WAKATI MGUMU KIBWANA SHOMARI

0
BEKI wa JKT Tanzania ambaye alipata nafasi ya kucheza Yanga, David Bryson amemtaja Kibwana Shomari kuwa ni beki mzuri lakini anapotezwa na uwepo wa...

MCOLOMBIA AMPIGIA SALUTI AFANDE BACCA

0
KITASA wa Azam FC Fuentes Mendosa ameshindwa kujizuia na kukiri kuwa Ibrahim Hamad 'Bacca' anayekipiga Yanga alistahili kuwa beki bora wa msimu uliopita kutokana...

KISA FEISAL MSENEGAL AMNYOSHEA MIKOMA…HATAKI AENDE SIMBA&YANGA

1
BEKI wa kushoto wa Azam FC Msenegal, Cheikh Sidibe amesema hakuna mchezaji asiyetamani kucheza na kiungo wa timu hiyo, Feisal Salum ‘Fei Toto’, kutokana...

HESABU ZA YANGA KIMATAIFA NI HIZI

2
NAHODHA wa Yanga, Bakari Nondo Mwamnyeto amesema kuwa makosa ambayo yalitokea kwenye mchezo uliopita ugenini licha ya kupata ushindi yamefanyiwa kazi na benchi la...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS