Tag: Habari
SIMBA SC WASHTUKIA ISHU YA BALEKE KUTAKA KUSEPA…MABOSI WAIBUKA NA HILI...
SIMBA inaangalia uwezekano wa kumpa mkataba wa kudumu mshambuliaji wake, Jean Baleke, kwa ajili ya kukiimarisha kikosi chao.
Baleke hivi sasa yupo kwa mkopo Simba,...
KWA BALAA HILI LA PHIRI….ASIPOCHEZA KWA SIMBA HII YA SASA ASEPE...
Mshambuliaji wa Simba, Moses Phiri huenda ameendelea kuwakosha Cadena na Matola na sasa wanafikiria kumuanzisha mechi na Asec Mimosas, Jumamosi hii.
Phiri mwenye mabao matatu...
KUELEKEA MECHI ZA CAF KLABU BINGWA…..SIMBA WAITAMBIA ASEC MASHABIKI WA KWA...
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa utawaonyesha nguvu ya mashabiki wapinzani wao ASEC Mimosas kwa vitendo kwa kujitokeza kwa wingi kwenye mchezo huo.
Novemba 25...
HIZI HAPA SABABU ZA YANGA KUWA JUU YA MAMELOD SUNDOWNS KWENYE...
Nimeona maswali ya watu wengi wakihoji kwanini Yanga wamekaa juu ya bingwa wa South Africa na Super league Mamelodi Sundowns, bila kusahau bingwa wa...
KUELEKEA MECHI NA WAARABU…MASTAA WOTE YANGA KUPIGWA CHINI….GAMONDI AFUNGUKA HILI..
LICHA ya mastaa wengine wakiwa katika majukumu ya timu za taifa, Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesema anatarajia kufanya mabadiliko ya kikosi chake...
HAWA HAPA MASTAA 10 WALIOKIWASHA KISAWASAWA NA MAN UNITED…
Manchester United hawajashinda kombe la Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) tangu mwaka 2013 lakini bado ni timu yenye mafanikio zaidi tangu ligi hiyo ilipoanzishwa...
JAPO USHINDI NI MNONO ILA UKWELI WA LIGI KUU UPO HIVI
LICHA ya kushinda bao 5-1, dhidi ya Simba, Kocha Mkuu amesema ushindi huo hauwezi kuamua kitu katika mbio za kuwania ubingwa na kutaka kushinda...
KUHUSU KIPOGO CHA SHABIKI WA YANGA, UONGOZI WACHUKUA MAAMUZI HAYA
Klabu ya Yanga SC, imesema inatarajia kuandika barua rasmi ya malalamiko kwenda kwa vyombo vinavyohusika na mpira kuhusiana na tukio la shabiki wao kupigwa...
GAMONDI AJA NA MSIMAMO HUU KWENYE SHEREHE ZA YANGA
Kocha Mkuu wa Young Africans, Miguel Gamondi amesema pamoja na ushindi walioupata juzi dhidi ya Al Merreikh ya Sudan lakinà bado wana kazi ya...
CHAMA AWEKA REKODI YA KIBABE NYUMBANI
Clatous Chota Chama ama Mwamba wa Lusaka kama wengi wanavyopenda kumwita, alikuwa katika ardhi ya Nyumbani kwao Zambia, katika jiji la Ndola.
Chama mzaliwa wa...