Dr Congo Vs Sierra Leone: Kwenye Vita ya Pointi Tatu
Mashabiki wa soka la Afrika wanatarajia kushuhudia pambano lenye ushindani wakati DR Congo itakapovaana na Sierra Leone katika mchezo wa kufuzu michuano ya AFCON 2027.…
Mashabiki wa soka la Afrika wanatarajia kushuhudia pambano lenye ushindani wakati DR Congo itakapovaana na Sierra Leone katika mchezo wa kufuzu michuano ya AFCON 2027.…
Mchezo wa Taifa Stars dhidi ya Morocco uliopangwa Oktoba 5 umefutwa baada ya wachezaji watano kuumia, huku Gamondi akibaki na maswali baada ya safari ngumu…
Taifa Stars imepata kipigo kizito cha mabao 5-0 dhidi ya AS FAR Rabat Morocco, huku Gamondi akipata tahadhari kubwa kabla ya mchezo unaofuata.
Mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Bernard Kamungo, ametatua rasmi changamoto ya nyaraka zake za usafiri na kuondoka kambini Morocco kurejea Marekani…
Taifa Stars ina ratiba ya michezo miwili ya kirafiki Morocco, ikianza Rabat Oktoba 2 kabla ya kukutana na Morocco U23 Oktoba 5 mjini Tangier.
Cyprian Kachwele ameifungia Taifa Stars katika sare ya 1-1 dhidi ya Madagascar. Hii ndiyo analysis ya mchezo na maana yake kwa Tanzania kuelekea AFCON 2027.
TIMU ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) leo inashuka dimbani kumenyana na Madagascar katika mchezo wa Kundi L wa kuwania kufuzu Fainali za Kombe la…
Taifa Stars inaelekea Morocco kumkabili Madagascar baada ya kupoteza 2-0 dhidi ya Guinea-Bissau. Gamondi sasa ana kazi ya kurekebisha ufanisi, balance na uchaguzi wa kikosi.