Tag: lambalamba
AZAM FC WAENDELEA KUFANYA MAKUBWA…WASHUSHA ‘KOCHA JIPYA’ LA MPIRA…NI BALAA…
AZAM FC imeendelea kujiimarisha kuelekea msimu ujao baada ya Julai 5, 2023 kumtambulisha kocha msaidizi kikosini hapo.
Miamba hiyo ya kusini mwa Dar es Salaam...