Tag: ligi ya mabingwa afrika
YANGA WASHINDWA KUTAMBA UGENINI, WAPOKEA KIPIGO KIZITO
MABINGWA wa Tanzania, Yanga SC wameanza vibaya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuchapwa mabao 3-0 na wenyeji, CR Belouizdad...