Tag: lomalisa
ONYO HILI LAMFUATA LOMALISA HUKOHUKO NJE YA UWANJA
Akiwa nje akiendelea kuuguza majeraha yake ya kifundo cha mguu ‘enka’, beki wa kushoto wa Yanga, Joyce Lomalisa amepewa onyo hiyo, Moses Etutu.
Beki huyo...
MAJANGA, LOMALISA KUIKOSA AL MAREIKH ISHU IKO HIVI
Beki wa kushoto wa Young Africans, Joyce Lomalisa anaendelea vizuri licha ya jeraha alilolipata kwenye mechi ya Namungo FC na kushindwa kuendelea na mechi...
LOMALISA AFUNGUKA KUHUSU RAFU HII ILIYOMTOA MACHOZI
Beki wa kushoto wa Yanga, Joyce Lomalisa amekiri rafu aliyofanyiwa na Hashimu Manyanya wa Namungo katika mchezo wa raundi ya tatu Ligi Kuu uliomalizika...
YANGA YAPATA MAJANGA, LOMALISA OUT
Daktari wa Klabu ya Yanga, Moses Etutu, amebainisha kwamba, beki wa kushoto wa timu hiyo, Joyce Lomalisa Mutambala atakuwa nje ya uwanja kwa takribani...