Tag: Simba
AHOUA AANZA KAZI SIMBA…MTAFURAHI NA SHOW
BAADA ya kuonesha makali na moto wake kwenye mchezo wa pili wa Ligi kuu ya NBC, Jean Charles Ahoua alifunga goli moja na kuhusika...
KUHUSU USAJILI WA JOBE MANGUNGU AFUNGUKA A-Z….MIL 700 TZS
UNAMKUMBUKA PAR OMAR JOBE? Strika la Magoli aliyeshindwa kufanya maajabu ndani ya Mitaa ya Maimbazi, tangu atue Simba katika dirisha dogo.
Mwenyekiti wa klabu ya...
Simba Yatua kwa Kiungo Mganda…Ni Mrithi wa Thadeo Lwanga
KLABU ya Simba SC Inafanya mambo yake kimya kimya ambapo kwa sasa imeelekeza jicho lake, kwa Kiungo mkata umeme aliyekuwa anakipiga SC Villa, Jina...
CHAMA NA MIQUISSONE…WACHOMOLEWA SIMBA…SABABU NI HIZI
Inaelezwa kwamba dili la Kiungo wa Zambia Clatous Chama kujiunga na Yanga linakaribia kukamilika, kutokana na upande wa Simba kushindwa kumtimizia mahitaji yake aliyoyataja...
MWAMBA KAGOMA KUSEPA NANI ATOKE SIMBA !?
Klabu ya Simba kwenye dirisha hili la usajili inahitaji kufanya maboresho kwa kufanya maingizo ya nyota wapya wa kigeni watakaokuja kuongeza nguvu kwenye kikosi...
KISA MKATABA SAIDO AWAGOMEA VIGOGO SIMBA
Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Burundi Saidi Ntibanzokiza 'Saido' amegomea mkataba wa mwaka mmoja, huku akiutaka Uongozi wa Simba SC kumpa mkataba wa miaka miwili.
Saido...
KIRAKA HUYU KUTOKA SIMBA KUTUA KAGERA SUGAR
Kiraka Nasoro Kapama aliyesimamishwa na klabu yake ya Simba kwasababu ya utovu wa nidhamu anahitajika na Kagera Sugar.
Kiraka Nasoro Kapama aliyesimamishwa na klabu yake...
KOCHA SIMBA APIGILIA MSUMARI SAKATA LA CHAMA
Kocha wa zamani wa Simba SC, Patrick Phiri raia wa Zambia amesema klabu ya Simba inapaswa sasa kufikia hatua ya kuachana kabisa na mchezaji...
SIMBA NA CHAMA SASA ISHU IKAE HIVI TU
Hakuna kitu kibaya kama kutoaminika kwenye maisha. Simba na Clatous Chama wamekuwa na ndoa ya muda mrefu, lakini hakuna anayemuamini mwenzake.
Ni kweli Chama bado...
BENCHIKHA SIO POA SASA NI VITA KAMILI
Kocha Mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha anapeleka kikosi katika michuano ya Kombe la Mapinduzi 2024, inayotarajiwa kuanza kesho 28, huku kichwani akiwa na mambo...