Home Tags Simba SC

Tag: Simba SC

UWEZO WA KITASA WA SIMBA…ANATISHA WAPINZANI NI BALAA

0
Anaitwa Abdulrazack Mohamed Hamza mwenye uwezo mkubwa sana wa kucheza eneo la kushoto na kulia katika nafasi ya beki wa kati katika ukuta wa...

LAMECK LAWI AJUTIA KUIKOSA SIMBA

0
Ilikuwa rahisi kama ambavyo nilikuwa naamini itakuwa hivyo,ule ukute wa Simba pale nyuma kwa sasa chini ya "Insepector" Chamou Karaboue, Abdlurazack Hamza pamoja na...

SABABU ZA KUIFUNGA ETHIOPIA ZATAJWA…TAIFA STARS KAZINI LEO

0
KIKOSI cha Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', leo kinaanza kampeni ya kusaka tiketi ya kushiriki Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025,...

ATEBA: NITAFUNGA SANA SIMBA…MASHABIKI WATULIZWA

0
STRAIKA mpya wa Simba, Leonel Ateba, ameahidi kufunga mabao mengi akiwa na klabu hiyo, akiwaambia mashabiki kuwa huu ni msimu wa ushindi na mataji...

ENDAPO AZAM WAKIMTAKA MGUNDA, MIL 20 BENKI

0
WAKATI jana viongozi wa Azam FC wakitangaza kufikia makubaliano ya pande mbili kuachana na Kocha Youssouph Dabo raia wa Senegal sambamba na wasaidizi wake...

SINGIDA BS WAMJIBU MWENDA…ATAKIWA KULIPA MIL 500

0
Uongozi wa Singida Black Stars umemtumia barua Israel Mwenda na uongozi wake wote pamoja na nakala kwa  Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF. Barua...

HALMASHAURI KUJENGA VIWANJA VYAO…SIMBA NA YANGA VICHEKO TU

0
Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo inafikiria kuzielekeza Mamlaka bajeti zao kwa ajili ya kutekeleza miradi ya ujenzi wa viwanja vya michezo kwa maeneo...

MWENDA AFUNGUKA SAKATA LAKE…NINA HELA YA KUTUMIA..WAMEVUNJA MAKUBALIANO

0
BAADA YA Soka la Bongo kuripoti juu ya taarifa za Aliyewahi kuwa mchezaji wa Simba, beki wa kulia Israel Mwenda, ambaye tulieleza kwamba amepanga...

SIMBA KUCHEZA MECHI YA KIRAFIKI WIKIENDI HII

0
KLABU ya Simba inatarajia kucheza mechi ya kirafiki wikiendi hii kabla ya kusafiri kwenda Libya kucheza mechi ya kwanza ya Kombe la Shirikisho dhidi...

MBINU 3 ZA KUIZUIA YANGA…SIMBA, AZAM ZAJIPANGA

0
UMEKUWA ukijiuliza Yanga chini ya Miguel Gamondi wanafanikiwa wapi ndani ya uwanja, hadi kutembeza kichapo cha mabao mengi kwa wapinzani wake, ikumbukwe Yanga kwenye...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS