Home Tags Simba SC

Tag: Simba SC

HIZI HAPA HESABU ZA SIMBA DHIDI YA POWER DYNAMOS

0
HUKU wakijiandaa kuvaana na Power Dynamos katika mchezo wa kwanza wa hatua ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika, uongozi wa Simba umetangaza kuja...

ROBERTINHO ASHTUKIA KITU MWISHONI, MTIHANI UKO HAPA SASA HUKO SIMBA

0
Zikiwa zimebaki siku nne kwa Simba kumaliza kambi maalumu nchini Uturuki, kocha wa timu hiyo, Roberto Oliveira 'Robertinho' ameshtukia kitu baada ya kiwango bora...

SIMBA KIMEUMANA…KOCHA ATEMA CHECHE HATARI…YANGA WATAJWA

0
KOCHA wa viungo wa Simba, raia wa Rwanda, Corneille Hategekimana ametoa onyo kali kwa wapinzani katika Ligi Kuu Bara wakiwemo Yanga  na kutakuwa na...

SIMBA SC KUSHUSHA WACHEZAJI HAWA SITA NA KUKAMILISHA USAJILI WAKE MSIMU...

0
Simba imepanga kukamilisha zoezi lake la usajili kwa kunasa na kutambulisha nyota sita ambao wataungana na wengine siku chache zijazo huko Uturuki walikoweka kambi...

MGUNDA KUTEMWA NA RASMI NA SIMBA? ISHU NZIMA IKO HIVI

0
UPO uwezekano mkubwa wa Simba kuendelea na kocha wake msaidizi, Juma Mgunda katika msimu ujao licha ya usiri mkubwa ulikuwepo kati yake na mabosi...

BEKI HUYU KISIKI WA SIMBA ATUA NCHINI KIMYA KIMYA

0
Beki kutoka nchini Cameroon anayehusishwa kutua kwa Wekundu wa Msimbazi Simba Che Fondoh Malone Jr amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi Kuu nchini Cameroon...

SIMBA SC IMEPANIA KURUDISHA UFALME WAKE BAADA YA KUKOSA MATAJI…. LEO...

0
Baada ya kumtambulisha Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Cameroon Leandre Willy Essomba Onana leo Jumatano (Julai 05) kupitia vyanzo vya habari vya Klabu ya Simba,...

MAJERAHA YAMTESA PHIRI SIMBA…BALEKE AMKOSESHA RAHA…AMEFUNGUKA HAYA

0
Mshambuliaji kutoka Zambia na Klabu ya Simba SC Moses Phiri anamini ipo siku ataaminiwa na kupata nafasi ya kucheza na ndio hapo atakapomthibitishia Kocha...

BAADA YA KUWASHA MOTO CAF…SHAFFIH DAUDA AFUTA KAULI…”SIMBA SIO UNDERDOG TENA

0
Mwandishi wa Habari na Mchambuzi wa Michezo nchini Tanzania Shaffih Dauda amefuta kauli yake ya Underdog kwa Klabu ya Simba SC, baada ya klabu...

BAADA YA SIMBA KUTOLEWA CAF….CHAMA AANDIKA UJUMBE HUU MZITO

1
Mara baada ya kuondoshwa kwa cha changamoto ya mikwaju ya penalti kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Kiungo Mshambuliaji wa Simba SC, Clatous Chama, ameandika...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS