UONGOZI WAWATULIZA WANASIMBA, MRATIBU ATOA KAULI HII
Mratibu wa Simba, Abbas Ally amesema kitendo cha kubadilishiwa uwanja dhidi ya Jwaneng Galaxy Jumamosi walikishtukia kabla kwa hiyo hakitawatoa mchezoni. Awali walikuwa wacheze ule…
Mratibu wa Simba, Abbas Ally amesema kitendo cha kubadilishiwa uwanja dhidi ya Jwaneng Galaxy Jumamosi walikishtukia kabla kwa hiyo hakitawatoa mchezoni. Awali walikuwa wacheze ule…
Wakati Yanga wakijiandaa kukabiliana na Mabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa Afrika Klabu ya Al Ahly siku ya Jumamosi Desemba 2 katika Uwanja wa Benjamin…
Mchambuzi wa soka Bongo George Ambangile, amesema kocha mpya wa Simba SC, anapaswa kupewa muda kabla ya watu kuhukumu kama anaweza kuiletea Simba mafanikio au…
Mshambuliaji wa klabu ya Simba, John Bocco anamaliza mkataba wake na Wekundu wa Msimbazi mwishoni mwa msimu huu na atakuwa Mchezaji huru (Free agent) ambapo…
DROO ya raundi ya pili ya michuano ya ya Kombe la Shirikisho la Azam(ASFC) imefanyika leo ambapo mabingwa watetezi Yanga itacheza dhidi ya Hauling ya…
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, Salim Abdallah Muhene ‘Try Again’ amefunguka kuwa, kwa sasa wanakwenda kwenye ukurasa mpya na klabu hiyo. Jumapili…
Kocha mpya wa Simba SC, Abdelhak Benchikha ametoa kauli nzito na ya kuwapa faraja mashabiki wa klabu hiyo ambao walikuwa wameikatia tamaa timu yao. Kupitia…
Nyota wa Zambia anayechezea Simba SC, Clatous Chama amesema anakiri kwamba hawakucheza vizuri kwenye michezo mitatu iliyopita lakini si kwamba kuna ugomvi ndani ya timu.…
Aliyewahi kuwa msemaji wakLabu ya Simba, Haji Manara amesema kuwa baada kuteuliwa jwa barbara Gonzalez kuwa Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa klabu hiyo, yeye alimpigia…
Andiko la @jr_farhanjr kwenda kwa viongozi wa Simba SC; Timu ilipokuwa haifanyi vizuri Mashabiki wakapiga sana kelele, zilipozidi kelele wakaitwa Mashabiki wenye nguvu haswa mtandaoni…