Latest Posts

SIMBA WASHAURIWA WAACHANE NA SAIDO

Mchambuzi wa masuala ya soka nchini kupitia East Africa Ardio, Nsajigwa Senior ameushauri uongozi wa Klabu ya Simba kuachana na kiungo mshambuliaji wao, Said Ntibazonkiza…

SIMBA WAINGIA MAKUBALIANO HAYA NA TP MAZEMBE

Mmiliki wa Klabu ya TP Mazembe, Moise Katumbi amesema tumeingia makubaliano na Klabu ya Simba ili kushirikiana katika mambo mbalimbali yanayohusu mpira. Katumbi amesema makubaliano…

Tetesi za Usajili Simba

BANGO LA YANGA LAIPELEKA SIMBA MAHAKAMANI

Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Simba na mjumbe wa kamati ya ushauri Ismail Aden Rage amesema kuwa viongozi wa timu hiyo wanapaswa kuwashitaki wapinzani wao, Yanga…

CHILUNDA APEWA MTIHANI HUU NA UONGOZI WA SIMBA

Mshambuliaji wa Simba, Shaaban Chilunda ana kazi ya kujitetea mwenyewe uwanjani, ili kuwaonyesha viongozi wa klabu hiyo hawakukosea kumsajili, kwani usajili wake uliwashitua mashabiki wengi.…