SIMBA, YANGA VICHEKO TU KABLA YA KARIAKOO DABI
KABLA ya mchezo wa Kariakoo Dabi itakayopigwa jijini hapa vikosi vyote viwili vimepokea taarifa njema ambazo zitawafanya watabasamu kwa kuongeza kitu kwao. Tuanze na Simba…
KABLA ya mchezo wa Kariakoo Dabi itakayopigwa jijini hapa vikosi vyote viwili vimepokea taarifa njema ambazo zitawafanya watabasamu kwa kuongeza kitu kwao. Tuanze na Simba…
Achana na Robertinho yeye tayari ameshapata mwanga‼️Lakini vipi hawa wawili, Miguel Gamondi wa upande wa Yanga SC pamoja na Youssouph Dabo wa Azam FC wote…
Kigezo cha uzoefu wa mashindano ya kimataifa, kimeonekana kuwa sababu kuu iliyoishawishi Simba kumsajili kipa Ayoub Lakred kutoka FAR Rabat ya Morocco ambaye leo klabu…
Kiungo wa Simba SC, Clatous Chama amesema huu ni msimu wao wa kurudisha heshima na kubeba mataji yote ambayo wameyapoteza katika misimu miwili iliyopita. Simba…
Wanamwita Guardiola Mnene, wakimlinganisha uwezo wake wa ukocha Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola ‘Boli linatembea’. Huyu ni straika wa zamani wa Coastal Union na…
Kocha Mkuu wa Simba, Roberto Oliviera amezungumza kuelekea mchezo wa kesho wa fainali ya Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga utakaopigwa katika Dimba la CCM…
Klabu ya Simba imethibitisha kukamilisha usajili wa kipa, AYOUB LAKRED kutoka FAR Rabat ya Morocco kwa Mkataba wa miaka miwili. Lakred (28) ameiongoza FAR Rabat…
Klabu ya Simba wanatarajia muda wowote kumtangaza kipa raia wa Morocco, Ayoub Lakred, aliyehudumu takribani misimu minne katika klabu ya mabingwa wa Morocco msimu uliomalizika…
Baadhi ya wachambuzi wa soka na wadau wa kabumbu nchini wanaipa Young Africans Sports zaidi ya asilimia 50 kushinda taji la Ngao ya Jamii mbele…
Baada ya jana kufanikiwa kutinga hatua ya Fainali ya Ngao ya Jamii dhidi ya Singida Big Stars kwa ushindi wa penati 4-2. Kocha wa Simba…