Ukweli Kuhusu Kasi ya Shekhan Khamis Singida Black Stars: Yanga Walifanya Makosa?
Tangu kuondoka kwake Yanga SC kwa mkopo kuelekea Singida Black Stars, kiungo mshambuliaji kijana, Shekhan Khamis, amekuwa mmoja wa wachezaji wanaoonyesha kiwango cha juu zaidi…