Tag: soka la bongo
TAIFA STARS YAAPA KUKIWASHA GUINEA…KUUFUZU AFCON
BAADA ya juzi kushindwa kupata ushindi kwenye mchezo wao wa kwanza wa kufuzu fainali za Afrika (AFCON) 2025 dhidi ya Ethiopia, wachezaji wa timu...
BREAKING NEWS…STARTIMES KUONESHA LIGI ZOTE DUNIANI.
CHOMBO CHA HABARI-STARTIMES Julai 31, wamefanya mapinduzi makubwa ya Soka duniani, ambapo Meneja Masoko wa kampuni hiyo David Malisa aliweka wazi mpango kabambe wa...
AHMED AWATOA HOFU SIMBA…HATUOGOPI YEYOTE CAF
AHMED ALLY Afunguka msimamo wa Simba Baada ya droo ya michuano kombe la Shirikisho Afrika kupangwa, uongozi wa klabu ya Simba umesema umepokea kwa...
JOSEPH AMUACHIA BALEKE NAMBA… YANGA YAMPA THANK YOU
MABOSI wa Singida Black Stars hawataki utani ambapo kwenye safu ya ushambuliaji wamemuongeza mtambo wa mabao Joseph Guede ambaye msimu uliopita wa 2023/24 alikuwa...
MAPYA YAIBUKA MSIBA WA HANS POPPE…MAHAKAMA YAINGILIA KATI
MAHAKAMA Kuu iliyopo katika Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki cha Masuala ya Familia (IJC) Temeke, Dar es Salaam imetoa hati ya kukamatwa mkurugenzi mtendaji...
SIMBA SC KUSHUSHA WINGA… ANATOKA DR CONGO.. NI FUNDI HASWA
KLABU ya Simba wapo kwenye mazungumzo na mshambuliaji kutoka klabu ya AS Vita, Elie Mpanzu, ili kupata huduma yake.
Simba ipo kwenye mchakato wa kuboresha...
ZAHERA HUYU HAPA AMETUA NAMUNGO
Klabu ya Namungo imemtambulisha Mwinyi Zahera kuwa kocha mkuu wa timu hiyo.
Namungo kutokea mkoani Lindi ilikuwa inanolewa na kocha Denis Kitambi ambaye ametimkia Geita...
SINGIDA FG WAMUANDHIBU FEI TOTO…. SIO POA
Klabu ya Singida Fontaine Gate imewaadhibu vinara wa Ligi Kuu Zanzibar, JKU FC ya Zanzibar jumla ya magoli 4-1 katika mchezo wa kombe la...
MWAMBA KAGOMA KUSEPA NANI ATOKE SIMBA !?
Klabu ya Simba kwenye dirisha hili la usajili inahitaji kufanya maboresho kwa kufanya maingizo ya nyota wapya wa kigeni watakaokuja kuongeza nguvu kwenye kikosi...
KISA MKATABA SAIDO AWAGOMEA VIGOGO SIMBA
Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Burundi Saidi Ntibanzokiza 'Saido' amegomea mkataba wa mwaka mmoja, huku akiutaka Uongozi wa Simba SC kumpa mkataba wa miaka miwili.
Saido...