Tag: soka la bongo
YULE MIQUISSONE MNAE MTAKA ANAKUJA…. KOCHA AWEKA WAZI KILA KITU
Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba, Roberto Oliveira Gonçalves do Carmo 'Robertinho', amesema kuwa bado anampika kiungo mshambuliaji wake, Luis Miquissone na anaamini atarejea...
MABOSI WA YANGA WAPIGA HESABU NGUMU KWENYE SAFU ZA USHAMBULIAJI….. MSUVA...
Kuna hesabu ngumu mabosi wa Yanga wanazipiga juu ya kukiboresha kikosi chao hasa juu ya kuiongezea makali safu yao ya ushambuliaji na kuna mastraika...
KISA YAO, KIBWANA APATA WAKATI MGUMU YANGA, KAMWE AFUNGUKA KILA KITU
Ofisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe amesema kuwa sasa ameelewa kwa nini beki wa kulia na kushoto wa Yanga SC, Kibwana Shomari...
EDO AWAITA MASHABIKI WA SOKA, AFUNGUKA MAZITO KUHUSU YAO WA YANGA
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini, Edo Kumwembe amemsifia beki mpya wa kulia wa Yanga, Kouassi Attoula Yao kutokana na kiwango chake kuwa bora...
SABABU ZA JOB KUWA BENCHI, GAMONDI AFUNGUKA KILA KITU
Baada ya kumalizika mchezo wa hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika kati ya Yanga SC dhidi ya Asas kutoka Djibouti na...
SIMBA HATA WAONGEZA POINTI KIASI GANI, YANGA ITAWASHUSHA TU. KAMWE
Ofisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe amesema kuwa nafasi yao ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu uko palepale...
HATIM AWASHAURI JAMBO HILI YANGA UPANDE WA KOCHA
Mchambuzi wa soka, Haatim Abdul amesema Yanga SC wanahitaji mwalimu wa wafungaji kwani wanapata nafasi nyingi lakini wanashindwa kuzitumia.
Amesema, Yanga wanatakiwa kumtafuta mwalimu anayeweza...
UONGOZI WA SIMBA WAKIANGUKIA KIKOSI CHA TIMU HIYO, KISA MATAJI YA...
Mabosi wa Simba wamekiangalia kikosi cha timu hiyo na kusema kikipata muunganiko na kurejesha soka lake, basi wapinzani watapata tabu sana kwani hawataacha kitu...
KWA SIMBA HII, TATIZO NI MZAMIRU, ISHU IKO HIVI
Simba imeanza kusaka taji la Ligi Kuu Tanzania Bara kwa ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Mtibwa Sugar. Lakini kwa tathmini ya haraka shida...
DOUMBIA NA YANGA MPAKA KIELEWEKE ISHU IKO HIVI
Wakati wadau na mashabiki wa soka wakijiuliza hatima ya beki Mamadou Doumbia ndani ya Yanga kutokana na kutoonekana kikosini pia akiwa hajapewa ‘Thank You’...