Home Tags Soka la bongo

Tag: soka la bongo

GAMONDI ATAMBA KUHUSU UBINGWA WA MSIMU HUU YANGA

0
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans Angel Miguel Gamondi amesema ana matumaini makubwa na kikosi chake kuelekea msimu mpya 2023/24,...

MZIMU WA MAYELE WAENDELEA KUSAKAMA YANGA, KUMPATA MRITHI WAKE MAJANGA, MPOLE...

0
Baada ya taarifa za kuuzwa kwa nyota wa Yanga, Fiston Mayele, ambaye anakwenda kujiunga na Pyramid ya Misri, mawazo sasa kwa uongozi wa mabingwa...

MSHAHARA WA LUIS MIQUISSONE SIMBA KUFURU

0
WAKATI kundi la mwisho la wachezaji wa Simba likijianda kupaa jana kwenda kambini Ankara, Uturuki, winga anayerejeshwa Msimbazi kutoka Al Ahly ya Misri, Luis...

HIKI WANACHOFANYA YANGA SASA NI KUKOMOA

0
HIKI kinachofanywa na Yanga sasa ni kukomoa. Baada ya kushusha winga kutoka DR Congo, Maxi Nzengeli aliyetoke AS Maniema anayesifika kwa chenga, kasi na...

KUMBE MSIMBAZI WALIMNYAKUWA STAA HUYU, KABLA YA YANGA ISHU NZIMA IKO...

0
UONGOZI wa Simba umefafanua mbinu ilizotumia kuinasa saini ya kiungo Fabrice Ngoma ambaye alikuwa anatajwa kuwa kwenye hesabu za watani zao wa jadi, Yanga. Nyota...

KIBEGI CHA SIMBA SC KIMESHAFIKA KILIMANJARO, UZI HUU HAPA

0
HATIMAE ile safari ya Kibegi cha Simba imegotea kwenye kilele cha mlima Kilimanjaro. Huu ni uzinduzi wa kwanza kwa Simba kufanya jambo hili kwa kuzindua...

KOCHA WA YANGA AIMWAGIA SIFA YANGA, GAMONDI ATAMBA

0
Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi amesema timu hiyo inatarajia kuwa na malengo makubwa zaidi kwa sababu ni klabu kubwa yenye mashabiki wengi wenye...

WALIOIVURUGA REKODI YA YANGA WAPO SANA

0
NYOTA wawili walioivuruga rekodi ya Yanga kufikisha mechi 50 bila kufungwa ndani ya ligi bado wapo ndani ya Ihefu baada ya kuongezewa mkataba. Yanga ilicheza...

KUHUSU CHAMA SIMBA WAJA JUU, YANGA WAHUSISHWA, ISHU NZIMA IKO HIVI

0
UONGOZI wa Simba umeibuka baada ya kukamilisha suala la kiungo wake Mzambia, Clatous Chama aliyegomea kambi ya nchini Uturuki kwa kutamka kuwa hawakuwa na...

KIPA WA SIMBA , AISHI MANULA AFUNGUKA HAYA KUHUSU HALI YA...

0
AISHI Manula, ‘Air Manula’ kipa namba moja wa Simba taratibu anazidi kurejea kwenye uimara wake baada ya kuwa kwenye mwendelezo wa matiabu ya afya...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS