Home Tags Soka la bongo

Tag: soka la bongo

KWA HILI LA FEI TOTO LIPO LA KUJIFUNZA

0
Feisal Salum ‘Fei Toto’ ameendelea pale pale alipoishia. Si ajabu amezidi kuwa wa moto zaidi akiwa na jezi ya Azam FC. Kama alivyomtungua Aishi...

UMAKINI ANAO UTAKA BENCHIKHA UNAAMBIWA KAMA JESHINI

0
Baada ya kukiangalia kikosi cha timu yake, Kocha Mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha, ni kama ametoa angalizo kwa viongozi wa klabu hiyo kuwa makini...

UWEPO WA MAXI KOMBE LA MAPINDUZI KOCHA ATOA TAMKO HILI

0
Yanga imeanza maandalizi ya michuano ya Kombe la Mapinduzi 2024 inayoanza Alhamisi, huku safu yake ya ushambuliaji ikizalisha mabao mengi ikiongozwa na Stephane Aziz...

UBORA WA MIQUISONE NA KINACHOENDELEA KWA MASHABIKI

0
Luis Jose Miquissone. Alipokuja kwa mara ya kwanza nchini walimuita Konde Boy. Alipewa jina hilo kwa sababu mbili. Kwa ubora wake kufananishwa na msanii...

AZIZ KI AFUNGA MWAKA KWA AINA YAKE…. AZAM NAO WASEPA NA...

0
Wamefunga mwaka kibabe! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya kiungo mshambuliaji nyota wa Yanga, Stephane Aziz KI na timu nzima ya Azam FC, kufunga mwaka...

BENCHIKHA AWAKUTANISHA SAIDO NA BALEKE KWENYE BALAA HILI

0
Mastaa wa Simba kwenye upande wa ushambuliaji ikiwa ni Jean Baleke, John Bocco na viungo, Saidi Ntibanzokiza ‘Saido’ watakutana na balaa la Kocha Mkuu,...

MSUVA AIKATAA YANGA BAADA YA KUTUA BONGO

0
Mshambuliaji Simon Msuva yupo nchini tayari baada ya kutua tangu majuzi kimyakimya, kuwahi kambi ya timu ya taifa inayojiandaa na fainali za Kombe la...

MTANANGE SIMBA,YANGA MILIONI 100 MAPINDUZI CUP

0
Kamati ya Kombe la Mapinduzi 2024 imetangaza zawadi za washindi wa msimu huu kwa kuweka bayana bingwa ataondoka na kitita cha Sh100 milioni, huku...

KUHUSU KUFUZU KOMBE LA DUNIA SIMBA NAFASI YAKE HII HAPA AFRIKA

0
Shirikisho la soka duniani FIFA limetoa mchanganuo juu ya namna timu zinaweza kufuzu Kombe la Dunia la vilabu mwaka 2025, huku kwa upande wa...

KAMA MASIHARA CHASAMBI AIKACHA YANGA……ATUA SIMBA STORY KAMILI IKO HIVI

0
Nyota wa klabu ya Mtibwa Sugar Ladack Chasambi amesajiliwa na kikosi cha Simba kwa dau la million 70 na mshahara wa Million mbili ...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS