Tag: soka la bongo
COASTAL UNION WAMTANGAZA MRITHI WA ZAHERA
Klabu ya Coastal Union inayoshiriki Ligi kuu kandanda Tanzania Bara leo imemtangaza kocha wa zamani wa klabu ya sofapaka raia wa Kenya David Ouma...
UHONDO WA MPUNGA WA EUROPA UPO MERIDIAN BET
Baada ya kushuhudia mbilinge mbilinge za Ligi ya Mabingwa Ulaya, sasa uhondo unahamia Ligi ya Europa ambapo leo hii viwanja mbalimbali kutimua vumbi huku...
GAMONDI AFUNGUKA HALI WALIOPITIA KWA COASTAL UNION NI BALAA
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel GamondiĀ ameweka wazi kuwa mechi dhidi ya Coastal Union ilikuwa ngumu tofauti na alivyokuwa akifikiria, lakini amefurahi kwa ushindi...
SINGIDA FG HALI SIO SHWARI LIGI KUU
Kocha Msaidizi wa Singida Fountain Gate, Thabo Senong amesemna Ligi Kuu Tanzania Bara bado ni ngumu na haitabiriki kwa sababu kila timu inakuja tofauti...
KAGERA SUGAR WAJA NA MKAKATI MPYA LIGI KUU
Baada ya ushindi wa mabao 2-1 ilioupata Kagera Sugar dhidi ya Tanzania Prisons, Kocha mkuu wa kikosi hicho, Mecky Maxime amesema wataendelea na mazoezi...
USIKU WA ULAYA MKWANJA NJE NJE
Usiku wa ligi ya mabingwa ulaya umerejea na leo jumatano michezo mbalimbali itapigwa ambayo inaweza kukupa nafasi ya kupigwa mkwanja na Meridianbet kwani michezo...
AZIZ KI AFUNGUKA WALIPOWASHIKA SIMBA
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga ni wa moto kila idara lakini kwa mujibu wa takwimu mabomu ya timu hiyo kumaliza mechi yapo...
METACHA AREJEA KIKOSINI YANGA
Kipa namba mbili wa Yanga, Metacha Boniphace Mnata amerejea ndani ya kikosi hicho mara baada ya kukaa nje kwa takribani wiki tatu kufuatia tuhuma...
KUMBE ROBERTINHO ALIKUWA ANATAFUTIWA SABABU TU
Mchambuzi wa soka Yahya Njenge amesema aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba SC, Roberto Oliviera 'Robertinho' alikuwa anatafutiwa sababu ya kufukuzwa na ikapatikana baada ya...
WANASIMBA WANAMTAKA MWAMBA HUYU ARUDI MSIMBAZI
Aliyewahi kuwa kocha wa Simba SC Sven Van Dabroek ambaye alifundisha FAR Rabat naWydad Casablanca zote za nchini Morocco kisha akafundisha CR Belouzdad ya...