Home Tags Soka la bongo

Tag: soka la bongo

AL AHLY AFL WATUPWA NJE YA MASHINDANO, WYDAD vs WYDAD KUKIPIGA...

0
Mabingwa wa muda wote wa Ligi ya Mabingwa Afrika Klabu ya Al Ahly ya Misri wameondolewa kwenye michuano ya African Football League baada ya...

GAMONDI AWATULIZA PRESHA WACHEZAJI WA YANGA………. MECHI NI YETU HII

0
Zikisalia siku nne tu kabla ya mchezo wa watani wa jadi, Simba SC na Young Africans, Kocha Mkuu wa Young Africans, Miguel Angel Gamondi,...

HAWA NDIO MASTAA HATARI DABI YA KARIAKOO

0
Joto na presha kubwa ni katika mchezo wa watani wa jadi Jumapili kutokana na namna ambavyo timu zote kwa sasa zimekuwa na matokeo mazuri. Yanga...

MASTAA SIMBA WAMTEGA ROBERTINHO

0
Takwimu za ufungaji za Moses Phiri na Jean Baleke katika Ligi Kuu msimu huu wa 2023/24, zinaweza kumuweka mtegoni kocha wa Simba Roberto Oliveira...

KUELEKEA DABI YA KARIAKOO SIMBA WALAMBA DILI HILI LA KIBABE

0
Katika kuelekea mchezo wao wa Dabi dhidi ya Yanga SC, Wekundu wa Msimbazi Simba SC, wameingia mkataba wa Bil. 1.5 na Kampuni ya Serengeti...

AHMED ALLY ATANGAZA USHINDI DHIDI YA YANGA……. MVUA YAHUSISHWA

0
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, amesema kitendo cha mvua kunyesha kuelekea kwenye mchezo wao wa dabi, ni ishara nzuri...

AZIZ KI AWAPA KITETE SIMBA KUELEKEA DABI YA KARAKOO

0
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga ambaye yupo kwenye kiwango bora hivi sasa, Stephane Aziz Ki, amesema amejiandaa kucheza kwa kupaniwa katika Kariakoo Dabi, huku akibainisha...

KUHUSU ISHU YA SKUDU KUSUGUA BENCHI ISHU KAMILI IKO HIVI

0
Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Afrika Kusini Skudu Makudubela, ameweka wazi kuwa, hana tatizo lolote na Benchi la ufundi la Young Africans linaloongozwa na Kocha...

REKODI HIZI ZA ROBERTINHO, GAMONDI HANA

0
Kocha Mbrazil wa Simba, Robertinho hajapoteza mchezo wowote msimu huu akiwa na Simba SC, Ligi kuu ameshinda michezo yote sita. Katika Michuano ya AFL ametoa...

AFL KUTIMUA VUMBI MWEZI HUU WABABE HAWA KUKUTANA

0
Baada ya Simba, TP Mazembe, Enyimba na Petro de Luanda kutolewa kwenye michuano mipya ya African Football League, Juzi vigogo wanne waliobaki walicheza mechi...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS