Tag: soka la bongo
SIMBA SASA HII NI FEDHEHA
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini kutoka East Africa Radio, Samwel Rashid mwenyewe anajiita Wakanda Republic amesema kuwa Klabu ya Simba wanapaswa wabadilishe malengo...
SIMBA KUISHIA ROBO FAINALI NI USHAMBA…….YANGA WAJA NA KAULI TATA
Siwezi kuilinganisha Simba na Yanga kimataifa , Kimataifa Mfano wa Simba ni Simba yenyewe, Yanga hajakutana na team ngumu kimataifa misimu ya hivi karibuni...
KISA MABEKI WA SIMBA BENCHI LA UFUNDI LATOA TAMKO….. ROBERTINHO NAE...
Simba juzi Jumamosi ilishinda mechi ya sita mfululizo kwenye Ligi Kuu msimu huu na sasa imerudi chimbo kujiandaa na mchezo ujao dhidi ya watani...
KUHUSU AZIZI KI KUCHEKA SANA NA NYAVU………ISHU IKO HIVI MWENYEWE AFUNGUKA...
Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Stephane Aziz KI amesema anaiona timu hiyo ikifunga idadi kubwa ya mabao msimu huu tofauti na msimu uliopita kutokana na...
KUHUSU KIPOGO CHA SHABIKI WA YANGA, UONGOZI WACHUKUA MAAMUZI HAYA
Klabu ya Yanga SC, imesema inatarajia kuandika barua rasmi ya malalamiko kwenda kwa vyombo vinavyohusika na mpira kuhusiana na tukio la shabiki wao kupigwa...
MAJANGA MASHABIKI SIMBA WATAKA ROBERTINHO AFUKUZWE, UNAAMBIWA SIMBA HAJASHINDA MECHI HATA...
Klabu ya Simba tangu huu msimu uanze haijashinda hata mchezo mmoja wa mashindano wa Kimataifa achana na ule wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya...
MAMBO NI MOTO PRISONS SIO POA………UNAAMBIWA KUIFUNGA SIMBA, YANGA MILIONI 10...
Sasa washindwe wao. Ndivyo unaweza kusema kufuatia udhamini walioupata Tanzania Prisons kutoka kampuni ya mbolea ya ruzuku, Bens Agro Star wenye thamani ya Sh150...
AZAM FC WAFANYA MAAMUZI MAGUMU KISA KUZOMEWA KWA FEI TOTO
Zomea zomea ya mashabiki katika Uwanja wa Azam Complex imeifanya klabu hiyo kusitisha kuingia bure katika michezo yao.
Tangu Ligi Kuu imeanza mashabiki walikuwa wakipewa...
YANGA WATOA TAMKO HILI KUHUSU SHABIKI ALIYESHAMBULIWA KWA MKAPA
Kupitia mitandao ya kijamii kumesambaa video ikionyesha shabiki aliyevaa jezi ya Yanga akishambuliwa na mashabiki waliovalia jezi za Simba katika Uwanja wa Mkapa.
Mwanasheria wa...
JUKUMU LA KUIDONDOSHA SIMBA WAPEWA MASTAA HAWA YANGA
Yanga haipoi. Baada ya juzi Ijumaa kuichapa Singida Big Stars mabao 2-0 na kujikita kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara, jana imekimbia haraka...