Tag: soka la bongo
ROBERTINHO AKIFUMUA KIKOSI CHA SIMBA MAPEMA
Kocha Mkuu wa Simba SC, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amesema anafahamu mchezo wa kesho dhidi ya Al Ahly utakuwa mgumu hivyo kuna mabadiliko atayafanya kwenye...
MANULA, KRAMO NJE YA DIMBA SIMBA vs AL AHLY
Mlinda mlango wa wa klabu ya Simba Sc, Aishi Manula 'Air Manula' na winga Aubin Kramo hawatakuwa sehemu ya kikosi ambacho kitakipiga kwenye mchezo...
KWA HILI UNAWEZA KUSEMA OKTOBA NI MWEZI WA YANGA
Ligi Kuu Bara inaendelea leo ambapo macho na masikio ya mashabiki wa soka nchini yataelekezwa Uwanja wa Benjamin Mkapa Yanga itakapowakaribisha matajiri wa Jiji...
ROBERTINHO: NIACHIENI MIMI TUTAWASHANGAZA WA MISRI NYUMBANI KWAO
“Niachieni mimi,” hiyo ni kauli ya Kocha Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ baada ya kuulizwa maandalizi yake kuhusu mechi ya marudiano ya African...
JEZI FEKI ZAIPA HARASA YANGA, MZIGO HUU UMEKAMATWA
Mwakilishi wa Kampuni ya GSM kwenye msako uliozikamata jezi feki za Simba, Yanga na Taifa Stars kwenye Ghala la Tosh Logistics lililopo Chang’ombe Dar...
ROBERTINHO ATOA KAULI YA KIBABE KUELEKEA MECHI YA MARUDIANO
Kocha wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ wala hana presha na mchezo wa marudiano akiwatumia salamu Al Ahly kuwa wanakwenda kupambana, huku akipangua kikosi.
amesema “Mimi...
SIMBA WAJUE MAMBO HAYA KABLA YA KUKUTANA TENA NA AL ALHLY
Kwa madaraja ya timu zinazokutana kwenye mchezo wa leo, natarajia kuona mpira uliotulia, pasi nyingi na kupeana nafasi ya kucheza sio kukamiana na kugongana...
ROBERTINHO APANGUA KIKOSI UGENINI
KOCHA wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ wala hana presha na mchezo wa marudiano akiwatumia salamu Al Ahly kuwa wanakwenda kupambana, huku akipangua kikosi.
Simba ilitarajiwa...
GAMONDI AWASOMA WAPINZANI WA SIMBA KWA MBALI
KOCHA wa Yanga, Miguel Gamondi alikuwa jukwaani akiwasoma wapinzani wao kwenye Ligi Kuu Bara, Simba ambao watakutana nao mwezi ujao, lakini pia Al Ahly...
ONANA AJICHIMBIA KABURI MWENYEWE MSIMBAZI
Pale Simba Onana ameanza kujichimbia kaburi yeye mwenyewe kwasababu amesahau kabisa kuwa Simba sio Ihefu.
Onana hakumbuki kabisa alisajiliwa kwa gharama kubwa na mbwembwe na...