Tag: soka la bongo
KUMEKUCHA FEI TOTO ATAKA KULIANZISHA TENA AZAM, ADAI HANA FURAHA
Aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Yanga SC ambaye kwa sasa anakipiga Azam FC, Feisal Salum Abdallah 'Fei Toto' hana furaha ndani ya klabu ya Azam,...
HAKUNA SILLAH WALA ONANA MWAMBA HUYU HAPA
Unaweza ukawa unajiuliza huyu Max Mpia Nzengeli hiki ambacho anakifanya Yanga ni kama vile mara yake ya kwanza ila hapana; huyu mwamba huu ni...
SIMBA WAPATA SULUHISHO BAADA YA HOFU YA KUMKOSA INONGA….. ISHU IKO...
Simba iko mawindoni ikijiandaa na mchezo wa African Footbal League dhidi ya Al Ahly ya Misri, lakini hofu kubwa ni uwezekano wa kumkosa beki...
KIBWANA AFUNGUKA HAYA KUHUSU YAO
Ubora wa beki Kouassi Yao umemuibua Kibwana Shomari aliyekiri kupata darasa kutoka kwa staa huyo huku akiweka wazi kuwa ni beki aliyekamilika kwenye kukaba...
MIQUISSONE MDOGO MDOGO KAMA HATAKI
Jose Luis Miquissone kiungo wa Simba SC taratibu anarejea kwenye makali yake kutokana na kuwa na mchango mkubwa wa upatikanaji wa mabao ndani ya...
MBABE WA YANGA AFUNGUKA KILICHOMUONDOA IHEFU
Saa chache baada ya klabu ya Ihefu kutangaza kuachana na kocha wake Zuberi Katwila mwenyewe amefunguka juu ya uamuzi huo akisema ameamua kuachana salama...
ROBERTINHO ATAMBA KUPATA MAFAILI MUHIMU YA AL AHLY
Kocha Mkuu wa Simba SC Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amefunguka kuwa tayari amepata mafaili muhimu ya wapinzani wake Al Ahly kuelekea katika mchezo wa ufunguzi...
KONKANI APEWA THANK YOU, HII HAPA MASHINE YA MAGOLI IMETUA YANGA
Mabosi wa Yanga wanakutana kufikiria watapitaje kwenye mechi sita za hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Lakini mastaa wawili wenye heshima Jangwani wamesema...
SIMBA WAOGA MINOTI KUTOKA CAF ISHU IKO HIVI
Simba SC jana ilicheza mechi ya kirafiki ya kujiandaa na pambano la michuano mipya ya African Football League (AFL) kwa kuikandika Dar City mabao...
ROBERTINHO AWEKA WAZI SILAHA DHIDI YA AL AHLY
Kocha wa Simba, Roberto Oliveira 'Robertinho' ametamba kuwa uzoefu na ubora wa beki wake wa kati, Che Fondoh Malone utakuwa silaha muhimu kwa safu...