Tag: soka la bongo
MARAIS HAWA KUISHUHUDIA SIMBA VS AL AHLY
Mtendaji Mkuu wa Simba, Imani Kajula, amesema marais wa FIFA na CAF ni miongoni mwa watu mashuhuru watakaofika kushuhudia mchezo wao wa ufunguzi dhidi...
SAIDO ATANGAZA VITA, AKILI YOTE KWENYE KIATU SASA
Baada ya kufunga mabao mawili katika mechi mbili za Ligi Kuu Bara mfululizo, straika wa Simba, Saido Ntibazonkiza amenogewa kufunga na sasa ameanza kuwaza...
MASTAA HAWA YANGA WAITWA TIMU ZA TAIFA
Wachezaji watatu wa kigeni Yanga SC, kipa wa Kimataifa wa Mali, Djigui Diarra na viungo Mganda Khalid Aucho na Mburkinabe Stephane Aziz Ki wamekwenda...
GAMONDI AWAPA ANGALIZO HILI MASTAA YANGA
Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi ameweka wazi kuwa baada ya kutinga hatua ya makundi kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika wana kazi kubwa ya...
SIMBA WAOMBE MASTAA WAO WASIITWE
Kuelekea maandalizi ya mchezo wa ufunguzi wa African Football Legue huenda Simba ikawakosa nyota kadhaa endapo wataitwa na kwenye timu zao za Taifa...
ALY KAMWE AWATUPIA KIJEMBE HIKI SIMBA PACOME AHUSISHWA
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ally Kamwe, amesema kuwa kwao uongozi wanajisikia furaha kusikia na kuona kila baada ya mchezo unapomalizika, wachezaji...
ROBERTINHO ATAMBA UKUBWA WA SIMBA, AWAPA NENO WACHEZAJI
Kocha Mkuu wa Simba SC Roberto Oliveira ‘Robertinho, amewapongeza wachezaji wake kwa kuonyesha kiwango kizuri katika mchezo dhidi ya Singida Fountain Gate, uliopigwa juzi...
ILI KUKABILIANA NA KUNDI D GAMONDI AITUMIA LIGI KUU
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans, Miguel Angel Gamondi, ameanza mchakato kuwapeleleza wapinzania waliopangwa moja katika michuano ya Ligi ya...
KOCHA AL AHLY ALALAMIKA WAPITA NJIA KAMA ZA SIMBA
Kocha Mkuu wa Al Ahly ya Misri, Marcel Koller, alia na mfululizo wa mechi huku akiitaja ratiba kuwa kikwazo kwa timu yake kupata matokeo...
MASTAA HAWA WATATU SIMBA WANGIA VITANI
Wachezaji watatu wanawania tuzo ya mchezaji bora ndani ya kikosi cha Simba kwa Septemba, 2023 ikiwa ni vita yao nyingine kumpata mbabe wao.
Ndani ya...