Tag: soka la bongo
AHAMED ALLY ATAMBA AWAAMBIA MANENO HAYA MASHABIKI
Mpira wa miguu kilele chake huwa ni ushindi (kupata alama tatu au kwenye mashindano ni kufuzu hatua inayofuata), kwenye Ligi tumechukua alama tatu dhidi...
GAMONDI AFANYA MABADILIKO JUU KWA JUU
Kikosi cha Yanga kimerudi uwanjani kujifua baada ya kutoka kucheza mchezo mgumu wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo iliyoamua kucheza nusu uwanja ili...
UONGOZI WA SIMBA AFUNGUKA KUHUSU AJALI YA CHE MALONE ISHU IKO...
Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amethibitisha kuwa ni kweli beki wao Che Malone Fondo amepata ajali leo Septemba 25 alfajiri akiwa...
GAMONDI AGEUKA KIVURUGE KWA WAPINZANI
MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga, amevuruga ramani za wapinzani wake wanaofikiria mbinu yake ya kupata mabao itakuwa kwa washambuliaji pekee wanaonza kikosi cha...
BREAKING NEWS: BEKI WA SIMBA CHE MALONE AMEPATA AJALI
Mlinzi wa Simba SC, Che Fondon Malone ameripotiwa kupata ajali ya gari usiku wa kuamkia leo maeneo ya Shule ya Feza Mikocheni wakati akitokea...
INONGA AIVURUGA SIMBA
Beki wa Simba SC, Henock Inonga ametoka hospitalini baada ya kujeruhiwa kwenye mchezo wa juzi Alhamis (Septemba 21) huku kocha wake akitikisa kichwa na...
MUDATHIR AWEKA SIRI ZA GAMONDI HADHARANI
KIUNGO wa Yanga, Mudathir Yahya amefichukua sababu kubwa iliyopelekea afunge bao pekee katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo ni kutokana na...
MINZIRO MASHAKANI, SIMBA WAHUSISHWA ISHU IKO HIVI
Kupoteza mechi mbili mfululizo za Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu, imeelezwa kumewaamsha viongozi wa Tanzania Prisons wakianza kukosa imani na kocha mkuu wa...
KIUNGO WA YANGA MAMBO MAGUMU
Kiungo wa zamani wa Yanga, Abdulaziz Makame ‘Bui’, baada ya kukosa timu ya kuichezea anapigia mahesabu usajili wa dirisha dogo, huku akieleza anavyotakiwa kujitoa...
FEI TOTO AFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA HALI YAKE AZAM
Kiungo Mshambuliaji wa Azam FC Feisal Salum ‘Fei Toto’ amesema anainjoi kuichezea timu hiyo, lakini akikiri kuna ushindani zaidi kwa msimu huu kwenye Ligi...