Tag: soka la bongo
YANGA YAANZA NA HESABU HIZI KALI CAF
Kikosi cha Young Africans kimerudi uwanjani kujifua baada ya kutoka kucheza mchezo mgumu wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo iliyoamua kucheza nusu uwanja...
SIMBA INAMTU HUYU MMOJA TU
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini kupitia East Africa Radio, Abissay Stephen amesema kuwa Klabu ya Soka ya Simba Sc ina mtu mmoja tu...
MUDATHIR AGEUKA MWIBA HUKO LIGI KUU
Timu yoyote itakayocheza na Yanga kisha kuona kiungo Mudathir Yahya akianzia benchi, kisha akaingizwa kwa mabadiliko, basi lazima ijipange kwani huyo jamaa ana balaa...
ISHU YA SIMBA NA MANULA IMEFIKA PATAMU SASA
Mlinda Mlango wa Klabu ya Soka ya Simba, Aish Salum Manula ameonekana kuimarika zaidi baada ya kuwa nje ya Uwanja kwa Muda Mrefu kutokana...
HUYU BALEKE SASA MTAKOMA,…..GAMONDI AINGIZA GIA MPYA
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
KATIKA HILI LA MASHABIKI YANGA NDIO INAONGOZA, ISHU IKO HIVI
Mchambuzi maarufu wa masuala ya soka kutoka EATC na EA Radio, Ibra Kasuga amesema kuwa Klabu ya Yanga ndiyo inaongoza kwa kuwaposti mashabiki zake...
SHAFFIH DAUDA AWACHARUKIA MASHABIKI WA SIMBA, ISHU IKO HIVI
Mchambuzi nguli wa masuala ya soka nchini, Shaffih Dauda amewaponda baadhi ya mashabiki wa Klabu ya Simba ambao wamekuwa na tabia ya kulalamika kuwa...
HII NDIO TIMU BORA KWA SASA, JULIO AFUNGUKA HAYA
Aliyewahi kuwa Kocha na Mchezaji wa Simba SC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ ameibuka na kutamka kuwa, Young Africans ni bora kwa sasa kutokana kiwango bora...
GAMONDI HAJARIDHISHWA NA NAMUNGO ISHU IKO HIVI
Ushindi wa bao 1-0 ambao wameupata Young Africans dhidi ya Namungo FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara juzi Jumatano (Septamba 20) haujamtosha Kocha...
GAMONDI AFANYA KILA KITU MAPEMA SANA
Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi anataka kufanya biashara yake mapema baadaye aje kupiga mahesabu kama ataingia hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa...