Home Tags Soka

Tag: soka

KUELKEA DABI YA KARIAKOO SIMBA WAPEWA MAUJANJA NA BEKI WA YANGA

0
Beki wa zamani wa Yanga, Ladslaus Mbogo ameangalia kasi na ubora wa Maxi Nzengeli, Azizi KI na Pacome Zouzoua waliokuwa nao kwa sasa ambapo...

OHOO KUMBE SKUDU ANAJAMBO LAKE NA GAMONDI…… ISHU NZIMA IKO HIVI

0
SKUDU Makudubela nyota wa Yanga ameweka wazi kuwa hana tatizo lolote na benchi la ufundi la timu hiyo linalonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi. Nyota...

PASI ZA YAO KUAMUA MATOKEO YA YANGA DABI YA KARIAKOO

0
MWAMBA Yao Attohoula ni baba lao kuelekea Kariakoo Dabi kwa upande wa kutengeneza pasi za mabao kwenye mechi za Ligi Kuu Bara. Ni Novemba 5...

AHMED ALLY ANAJUA KUWA YANGA IMEBADILIKA ILA MSIMAMO WA SIMBA NI...

0
Uongozi wa Simba SC umesema licha ya ukweli kuwa wapinzani wao Young Africans wamebadilika kiuchezaji kulinganisha na msimu uliopita, hilo haliwatishi na halitawazuia kuibuka...

ISHU YA NAMUNGO NA KOCHA MPYA IMEKAA HIVI

0
Uongozi Namungo FC umeeleza kuwa kwa sasa hawana mpango wa kutafuta kocha mpya, wakimpa nafasi zaidi aliyekuwa kocha msaidizi wa timu hiyo, Denis Kitambi. Kauli...

WALIOMSHAMBULIA SHABIKI WA YANGA KUADHIBIWA

0
Bodi ya Ligi Kuu pia imeelezwa kusikitishwa na kitendo cha ukatili na vurugu kilichofanywa na mashabiki waliokuwa wamevaa jezi ya Simba na bluu kumshambukia...

USHIRIKINA WAIPONZA TIMU YA MASHUJAA FC, WAPIGWA FAINI HII

0
Klabu ya Mashujaa imekumbana na adhabu ya kutozwa faini ya Sh1 milioni kwa kosa la kufanya vitendo vinavyoashiria imani za kishirikina baada ya mmoja...

CAFYAWATILIA UGUMU WAPINZANI WA YANGA

0
Shirikisho la soka Barani Afrika (CAF) limeukataa uwanja wa Cape Coast ambao klabu ya Medeama ilikuwa imepanga kuutumia katika michezo yake ya hatua ya...

STAA HUYU WA SIMBA ANAJUTA KUONDOKA YANGA, STORI KAMILI IKO HIVI

0
Kuna msemo wa kukosea ni wakati wa kwenda sio kurudi. Hii ni kauli inayomlenga Gadiel Michael ambaye amezitumikia timu tatu kubwa za Ligi Kuu...

MANULA KUIKOSA TENA DABI YA KARIAKOO KISA HIKI HAPA

0
Rasmi Mlinda Lango chaguo la pili wa Simba SC, Ally Salim ndiye atakayekaa langoni katika mchezo wa Kariakoo Dabi dhidi ya Young Africans, ukiwa...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS